MJADALA: Ni changamoto gani unakumbana nayo kwa kuchelewa kuoa/kuolewa?

MJADALA: Ni changamoto gani unakumbana nayo kwa kuchelewa kuoa/kuolewa?

Sasa jamani wake za watu na waume za watu mko bize humu usiku huu, au wengi wenu uzi unawahusu, kwa wake na waume wote!!
Unaona watu kama kina miss chagga sasa hivi wako wanahudumia ndoa zao na watoto kesho shuleni wanavaa nini!
Ndo mida hii ya hizo shughuli!

kama umeoa wewe unafanya nn humu mkuu ?? mie namsubiria ubavu wangu
 
Sasa jamani wake za watu na waume za watu mko bize humu usiku huu, au wengi wenu uzi unawahusu, kwa wake na waume wote!!
Unaona watu kama kina miss chagga sasa hivi wako wanahudumia ndoa zao na watoto kesho shuleni wanavaa nini!
Ndo mida hii ya hizo shughuli!
Mkuu wamekuonesha pete? Au unataka tubaki madume tupu hapa...
 
Mkuu, uamini usiami hivi tunavyoandika humu vina influence sana, kuna yule mtangazaji wa cloudz kwenye ala za roho huwa anasoma mpaka comments za hizi mada tunazojadili humu.

Sasa kipindi chake kinasikilizwa na watu wangapi.
Aisee ndio nami nimegundua hilo.
 
Back
Top Bottom