MJADALA: Ni changamoto gani unakumbana nayo kwa kuchelewa kuoa/kuolewa?

MJADALA: Ni changamoto gani unakumbana nayo kwa kuchelewa kuoa/kuolewa?

Huu uzi unaonyesha kuna bachelors pia wengi sana jf!! Uko active sana, ladies na gentlemen wanasomana kabla ya kukwapuana, platform hii ya walio single.
Kuna tuture couples za kweli zitatoka katika uzi huu! Kambi popote.
 
Mimi changamoto kubwa ninayokumbana nayo ni kwamba chura nyingi ni za kichina![emoji58][emoji58][emoji58]......kwa mpenda chura kama mimi hiyo imekuwa ni changamoto kubwa!
Hizo chura za kichina uliofanya ziwepo ni nyie wenyewe, wao wanaangalia ni nini mpenda sana kisha wanakifanyia kazi kukipata kwa njia yoyote.

Sasa hivi ukipita mitaa ya Sinza unaona kila dada ana furushi nyuma, utafikiri wamemwagwa na fuso sasa hapo kujua ipi ni OG na ipi ni made in Shanghai kweli changamoto.

Pole sana pro-chura
 
Umeaoa au bado
 
Zingine ni majaradio ya "pampas/diapers", ukigusa tu unajua sicho!
 
Mweeeeh!! Mie utasikia olewa bwana,mara oooh bora wewe haujaolewa na usiolewe, kesho tena unashauriwa kuolewa. Huwa nawaitikia tu kila ushauri hata sitii neno.
Kama nilikusoma zamani kiasi ulikuwa kwenye ndoa then mkaaachana ikawa mvutano ikiwa Ndugu wanatia figisu mgawane mali (nyumba?) Wakaufyata!!!

Somebody....
 
Kati ya mambo yalonifanya niache kuhubiri pesa humu ni hilo mkuu. Kumbe kuna watu wanachukulia mambo humu very serious!! Kiranga komo!!
Mkuu, uamini usiami hivi tunavyoandika humu vina influence sana, kuna yule mtangazaji wa cloudz kwenye ala za roho huwa anasoma mpaka comments za hizi mada tunazojadili humu.

Sasa kipindi chake kinasikilizwa na watu wangapi.
 
Back
Top Bottom