Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa jamani wake za watu na waume za watu mko bize humu usiku huu, au wengi wenu uzi unawahusu, kwa wake na waume wote!!
Unaona watu kama kina miss chagga sasa hivi wako wanahudumia ndoa zao na watoto kesho shuleni wanavaa nini!
Ndo mida hii ya hizo shughuli!
Shida yenu ni moja, mtu akiwa single hamumuoniWivu sina ila roho inaniuma...
Dah!!kama umeoa wewe unafanya nn humu mkuu ?? mie namsubiria ubavu wangu
Criteria zinazoweza kusaidia kujua yupi yuko single pleaseShida yenu ni moja, mtu akiwa single hamumuoni
Mkuu wamekuonesha pete? Au unataka tubaki madume tupu hapa...Sasa jamani wake za watu na waume za watu mko bize humu usiku huu, au wengi wenu uzi unawahusu, kwa wake na waume wote!!
Unaona watu kama kina miss chagga sasa hivi wako wanahudumia ndoa zao na watoto kesho shuleni wanavaa nini!
Ndo mida hii ya hizo shughuli!
Brother, fursa hizo!!Duh...some of u are too cute to be single!
Mmmmh!! Umechanganya madesa mkuu, sio mimi kwakweli.Kama nilikusoma zamani kiasi ulikuwa kwenye ndoa then mkaaachana ikawa mvutano ikiwa Ndugu wanatia figisu mgawane mali (nyumba?) Wakaufyata!!!
Somebody....
Hahahaaaaaas!Mkuu wamekuonesha pete? Au unataka tubaki madume tupu hapa...
HahDuh...some of u are too cute to be single!
UlizaCriteria zinazoweza kusaidia kujua yupi yuko single please
Aisee ndio nami nimegundua hilo.Mkuu, uamini usiami hivi tunavyoandika humu vina influence sana, kuna yule mtangazaji wa cloudz kwenye ala za roho huwa anasoma mpaka comments za hizi mada tunazojadili humu.
Sasa kipindi chake kinasikilizwa na watu wangapi.
NmefikaaMmmmh!! Umechanganya madesa mkuu, sio mimi kwakweli.
Hahahaaa!! We haya tu!khaa! umelewa mausingizi eh