Jamani mume wangu hajarudi tu!! Hebu fanya fanya uondoke its about time. Nami nijimwae mwae na pampula wangu.kama umeoa wewe unafanya nn humu mkuu ?? mie namsubiria ubavu wangu
Bora umemwambia. Hakukuona hadi mkwe wangu T akakubeba, sasa hivi awe tu mpenzi mtazamaji.Shida yenu ni moja, mtu akiwa single hamumuoni
Umefika wapi mkuu?Nmefikaa
Hivi kuna binti huwa anajibu yuko single hata kama yuko single kweli!!Mkiulizwa mnasema mko occupied...its awkward anyway.
They escape from being truthUliza
HahahaMkiulizwa mnasema mko occupied...its awkward anyway.
Nmekuja kukufataUmefika wapi mkuu?
Nmekuja kukufata twendeUmefika wapi mkuu?
Sijawahi kusahau hasa 'nikiwa vizuri'.Mmmmh!! Umechanganya madesa mkuu, sio mimi kwakweli.
Kunifuata!!Nmekuja kukufata
Twende wapi mkuu?Nmekuja kukufata twende
HahaBora umemwambia. Hakukuona hadi mkwe wangu T akakubeba, sasa hivi awe tu mpenzi mtazamaji.
HmmThey escape from being truth
Katika hili kubali kuwa umesahau, sijawahi ongelea kitu kama hicho mkuu, maybe kama nilitolea mfano wa mtu ila sio mimi.Sijawahi kusahau hasa 'nikiwa vizuri'.
Anyway maisha yanaendelea
DmTwende wapi mkuu?
Anakugombeza! Kisa na mkasa!!Haha
Tena alikuwa akinioona anigombeza huyo
Wengi wenu mko hivyo ngumu sana kuwa wakweli
SijuiAnakugombeza! Kisa na mkasa!!