Sio rahisiWengi wenu mko hivyo ngumu sana kuwa wakweli
Kunifuata!!
Twende wapi mkuu?
Kwa hilo jibu tu ni dhahiri kuwa haujaolewa, hebu changamkieni hizi fursa nyie watoto!!!Kwani wewe ni aje sijasoma hii toka mwanzo, inategemea na jibu lako..
Daby handsome boy mwambie anasalimiwa pia sana!
Nitakuchapa ujue!! [emoji85][emoji85][emoji85]Hahah!, nili miss hivi vituko halafu...lol
Kweli and this is serious caseSio rahisi
I'm not!!!! Ndo alinichelewesha bhana!!! Alikuwa hajiamini sijui aliona nini!!!Kwanini usingem-convince...are u single?
mnataka ndoa za kudumu wakati usafi, heshima wala uwezo wa kumudu majukumu hamna. kutwa kuwaza kujipamba na kufatilia umbeya wa istagramNa bora hata ulivyohuna hela ya kumtunza mwenzio ...nani anataka ndoa ya mkataba kwa mfano
Nitakuchapa ujue!! [emoji85][emoji85][emoji85]
HahahahahahahSiwaoni mkuu. Huko ulipo wana tag usoni zimeandikwa '34 Single' ?
Mie nilishaacha maana ukijibu uko single mtu hakuamini, anasema "haiwezekani" nyie ndio mnasababisha tutoe majibu hayo maana hamtuamini.Wengi tu....tena ukimwambia haiwezekani uwe single anakuhakikishia kwa nguvu zote..
Akianza kuruka ukae mbali.Hahaha!, ngoja awasili tuone hasira za mmasai.
Mbona wengine wanadai wote husema wamewahiwa!!!!Kweli and this is serious case
Mmmh...! OK nakuja kukujibu vizuri.Umeaoa au bado
Huko hakuna njia we mtoto!![emoji28] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
No sakayo you to forgive and forget himHahaha
Lakinii ni ukweli.... Kuna mmoja aliniudhii anadiriki kusema I don't deserve to be with you!!!! Huh sitokaa nimsahau
Yaani we acha tu hata kumeza manii siwezi aisee, si kwamba nina kinyaa kivile lkn kuna vitu vingine mh sio