MJADALA: Ni changamoto gani unakumbana nayo kwa kuchelewa kuoa/kuolewa?

MJADALA: Ni changamoto gani unakumbana nayo kwa kuchelewa kuoa/kuolewa?

Kwani wewe ni aje sijasoma hii toka mwanzo, inategemea na jibu lako..

Daby handsome boy mwambie anasalimiwa pia sana!
Kwa hilo jibu tu ni dhahiri kuwa haujaolewa, hebu changamkieni hizi fursa nyie watoto!!!

Utamfanya mdogo wangu Daby apasuke kichwa, hivi ulishawahi kuona mmasai handsome!!
Akija mwambie nipo sudan.
 
Na bora hata ulivyohuna hela ya kumtunza mwenzio ...nani anataka ndoa ya mkataba kwa mfano
mnataka ndoa za kudumu wakati usafi, heshima wala uwezo wa kumudu majukumu hamna. kutwa kuwaza kujipamba na kufatilia umbeya wa istagram

nani anataka mwanamke wa ivo,mkwanja ntaupata tu na ndoa ya serikali itahusika.
 
Back
Top Bottom