MJADALA: Ni changamoto gani unakumbana nayo kwa kuchelewa kuoa/kuolewa?

Ha ha ha i hope i got more to offer than money.
If thats the case basi utakuwa unatafuta wale wenye vigezo vya wengi, na hao kwakuwa competation huwa kubwa basi nao huangalia sanaaaa x-factor.

Hauwezi kumpata alie perfect 100% hebu angalia hao ulio nao tafuta mwenye unafuu na unayeona life litasonga then go for it. Bahati nzuri ulisema unahitaji wa kuridhika nae tu.
 
Kwa thread ninazoandika lately i expected this. Siwezi kushangaa mtu kusema hivyo, hata ningekuwa mimi ningemfikiria huyo mtu hivyo. ila trust me naandika makusudi, lately hamna thread za aina hii.
Na lately naona changes kubwa[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Kweli umekua,now its about time tuitwe aunty sie. Cc Heaven Sent.
 
Single moms, dah!!
Mzazi mwenzie awe alikufa TENA kwa ajali. No offense!!
Mbona watu mnaogopa sana kuoa single moms eheee!!!? Nyambafuu.

Wana nini hao single moms hata kama baba mto bado yupo?

Tena nyie watanzania watanzania mbona hamzalishani ovyoo na single moms waliopo hapa ni wa kuhesabu, hebu nenda Nampula hapo ujionee wanawake wanavyo zalishwa ovyoo, yaani huwezi kukuta binti wa miaka 28 hana mtoto haijalishi ameolewa au hajaolewa, na wanaona kawaida tu na wanaolewa.

Sasa nashangaa nyie wabongo mnavyoogopa kuwaoa na kisingizio chenu eti mnaogopa kuchapiwa utafikiri hao ambao hawajazaa ndio huwa hawachapwi nje.
 
Duh mkuu taratibu. Ni uamuzi binafsi tu, wapo ambao hawajali wanaoa yeyote.
 
If thats the case basi utakuwa unatafuta wale wenye vigezo vya wengi, na hao kwakuwa competation huwa kubwa basi nao huangalia sanaaaa x-factor.

Hauwezi kumpata alie perfect 100% hebu angalia hao ulio nao tafuta mwenye unafuu na unayeona life litasonga then go for it. Bahati nzuri ulisema unahitaji wa kuridhika nae tu.
Bahati nzuri au sijui niseme mbaya, sijawahi kufikia stage ya kusema huyu anafaa kuwa mrs then akanikataa.
 
Mbona watu mnaogopa sana kuoa single moms eheee!!!? Nyambafuu.

Wana nini hao single moms hata kama baba mto bado yupo?

Tena nyie watanzania watanzania mbona hamzalishani ovyoo na single moms waliopo hapa ni wa kuhesabu, hebu nenda Nampula hapo ujionee wanawake wanavyo zalishwa ovyoo, yaani huwezi kukuta binti wa miaka 28 hana mtoto haijalishi ameolewa au hajaolewa, na wanaona kawaida tu na wanaolewa.

Sasa nashangaa nyie wabongo mnavyoogopa kuwaoa na kisingizio chenu eti mnaogopa kuchapiwa utafikiri hao ambao hawajazaa ndio huwa hawachapwi nje.
Usitoke povu kijana, ni mtazamo wangu!!
Shea chochote ila sio mke, wahenga walisema "mtalaka hatongozwi", na mapenzi ya wawili hao kamwe hayafi!!
Do it at your own risk!!
 
Nime kwelewa sanaa apo ume nena ila kuchapiwa mke ina uma sana sanaaa
 
Kama bado unachagua halafu pesa huna jiandae... Tafuta pesa tuje kukulea kwa zamu.. Ila ukiwa huna hela utajibeba . pole na ubahili uache
Mmmm unaweza fuata pesa uka fanywa chombo cha starehe lakini ndani una pata maumivu ya kupenda pesa cha msingi kuwa mwangalifu pesa siyo mnzuri
 
Back
Top Bottom