MJADALA: Ni changamoto gani unakumbana nayo kwa kuchelewa kuoa/kuolewa?

MJADALA: Ni changamoto gani unakumbana nayo kwa kuchelewa kuoa/kuolewa?

Dhaa apo maji ya moto atari snaa bora mnge subiri kidogo mpange life lingine la maendeleo msichana bado ana umri wa kujiendeleza sna kwa mambo mengi then utoto bado upo kwa mbali lamda wewe ati list ume sogea
Ahsante kwa ushauri bado nafasi ya kusubiri ipo kinachofanya iwe ivyo ni maisha ya ujana. Binafsi niliomba niishi maisha ya uaminifu hadi pale nitakapokutana na mtu ambaye atakuwa nami maishani, thanks God huyu binti four years back ndipo nlipokutana nae.
Nipo tayari kusubiri hata miaka mitano, mwakani tutaangalia lakini kuanzia mwaka kesho nitakua tayari mda wowote.
Thanks kwa ushauri.
 
Uwe makini kama umri umekwenda sana halafu upate kicheche maisha yatakua mafupi sana. Tafuta mtu mzima kama wewe ambae amechelewa kama wewe asiye na mtoto .Una mtihani mkubwa ila omba Mungu atakuonyesha size yako
 
Pamoja bro
 
Hili ndio nahofia, imagine nimefikisha 50, mke ndio ana 33! Kuna usalama kweli?!!
Ni kweli hiyo ni changamoto kubwa, hata kuwaza mnakuwa hamuwazi sawa. Nimeiona kwa shemeji yangu imemsumbua mnooo, wana tofauti ya miaka 10 na mkewe. Yaani ilikuwa ni patashika nguo kuchanika.
Na siku hizi kama mwanamke anaishi vizuri,anakula vizuri mazoezi kwa sana yaani hawazeeki haraka tofauti na wanaume.
 
Nishauri kwa angle ya 'muolewaji'
Daaah
Pagumu hapo!!! We muombe Mungu akuonyeshe wako tu, si unaona kwa akili zako unakaribia kushindwa eeeh!!!! Mwambie Mungu nipe mke nimtakae mimi taja na sifa zake hakika Mungu sio kiziwi!!!
 
Uwe makini kama umri umekwenda sana halafu upate kicheche maisha yatakua mafupi sana. Tafuta mtu mzima kama wewe ambae amechelewa kama wewe asiye na mtoto .Una mtihani mkubwa ila omba Mungu atakuonyesha size yako
Ilo nalo la simngi lakini mama kubwa nawo wanajua kupenda atari kutokana unakuta kashaa pitia yote amna jipi alilo pata zaidi ya kuchoshwa
 
Back
Top Bottom