Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,894
- 76,810
hahaha wewe unaona kuna dalili zozote hapa za sherehe kweliMimi nataka ya mualiko[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahaha wewe unaona kuna dalili zozote hapa za sherehe kweliMimi nataka ya mualiko[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Ndio maana kuna age group huwa naikwepa.Ni kweli hiyo ni changamoto kubwa, hata kuwaza mnakuwa hamuwazi sawa. Nimeiona kwa shemeji yangu imemsumbua mnooo, wana tofauti ya miaka 10 na mkewe. Yaani ilikuwa ni patashika nguo kuchanika.
Na siku hizi kama mwanamke anaishi vizuri,anakula vizuri mazoezi kwa sana yaani hawazeeki haraka tofauti na wanaume.
wifi yako.... unataka kunificha nawe?Miss you more. Nani alikuficha!!
Usije ukakata tu ya mapazia.Naelekea Mwanjelwa kukata kitambaa. Dalili ya mvua.....
kwa hii hali utafanya kimya kimya ili wasemaji wabaki kimyaAisee mkuu usiwe hivyo bana...!
Hivi unajua mwanaume wa miaka 50 ana nguvu sana!!! Hilo lisikupe shida!!!Hili ndio nahofia, imagine nimefikisha 50, mke ndio ana 33! Kuna usalama kweli?!!
Bahati nzuri nina mwili mzuri, najitahidi mazoezi na kula vizuri. Hata hao mabinti wadogo nikiwatajia umri wangu hawaamini.Kila ukitaka KUOA BINTI MDOGO .....utawasikia wakisema UJANA WAKO ULE NA NANI....UZEE WAKO UJE KWNGU...nitolee MAPENGO YAKO MM....kwahiyo inakuwa taabu kupata mtoto mbichi....yabidi uangukie kwa single mother
Wifi yangu yupi sasa maana!!!wifi yako.... unataka kunificha nawe?
UsijaliAsante kwa kunipa moyo.
Na kichwani UNAPAKA SUPER BLACK?auBahati nzuri nina mwili mzuri, najitahidi mazoezi na kula vizuri. Hata hao mabinti wadogo nikiwatajia umri wangu hawaamini.