MJADALA: Ni changamoto gani unakumbana nayo kwa kuchelewa kuoa/kuolewa?

MJADALA: Ni changamoto gani unakumbana nayo kwa kuchelewa kuoa/kuolewa?

Ni kweli hiyo ni changamoto kubwa, hata kuwaza mnakuwa hamuwazi sawa. Nimeiona kwa shemeji yangu imemsumbua mnooo, wana tofauti ya miaka 10 na mkewe. Yaani ilikuwa ni patashika nguo kuchanika.
Na siku hizi kama mwanamke anaishi vizuri,anakula vizuri mazoezi kwa sana yaani hawazeeki haraka tofauti na wanaume.
Ndio maana kuna age group huwa naikwepa.
 
Kila ukitaka KUOA BINTI MDOGO .....utawasikia wakisema UJANA WAKO ULE NA NANI....UZEE WAKO UJE KWNGU...nitolee MAPENGO YAKO MM....kwahiyo inakuwa taabu kupata mtoto mbichi....yabidi uangukie kwa single mother
 
Bahati nzuri nina mwili mzuri, najitahidi mazoezi na kula vizuri. Hata hao mabinti wadogo nikiwatajia umri wangu hawaamini.
 
Back
Top Bottom