MJADALA: Ni changamoto gani unakumbana nayo kwa kuchelewa kuoa/kuolewa?

umesahau kusema hupendi wanawake wanene na chura
 
Utachambua sana at last utaangukia garasa,hakuna aliyekamili kihivyo even you una mapungufu,mambo mengine utajifunza kuchukuliana na maisha yatakuwa poa tu
 
Utachambua sana at last utaangukia garasa,hakuna aliyekamili kihivyo even you una mapungufu,mambo mengine utajifunza kuchukuliana na maisha yatakuwa poa tu
Negativity yako haitaathiri maisha yangu. Wewe ni nani mpaka uhitimishe nitaangukia garasa? Take your negativity and shove it where the sun doesnt shine.
 
Mbona alishusha vigezo akasema hata kama unacho kimoja uende tu, bado ukadengua!! Umegandana na kina Bonny na Benny tu misheni town hata hmpigi hatua tangu enzi za mfalme herode! Changamka basi hapa naona kumeshakucha.
Tulia mama mbona kama una roho mbaya namna hyo mwanao mwenywe kardhika na maisha haya wewe unataka kitchen party tu hapo upewe vyombo vya uzeen
Heaven Sent hiv upogo aiseee
 
Hapendi waliofanana na Whoopi Goldberg pia mkuu
mimi na huyu ndugu hatuendani kabisa jamani.mimi sio type yake wala yeye sio type yangu. pia mimi sitaki mwanaume tena .nishastaafu
hapendi kabisa .anapenda moderate shape . anachagua kila kitu huyu
hapendi kabisa .anapenda moderate shape . anachagua kila kitu huyu
Kumbe wanene hawapendi eehh?
Hizi ni juhudi za makusudi kuniharibia....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…