Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi mshamba hawa wa mjini wamenishinda kwa Aspirin niko happytatizo la rrondo ni moja .anajua kila kitu.ujue mwanaume mshamba ana raha yake eeh? sasa rrondo sio mshamba hapo inaitaji ujanja wa ziada
Hiyo aiseee veepe!!!!Aisee...
Yaani na huku umekuja kutuandama!!Ila wanawake wengine jaman ni zaidi chaja ya kobe kila betri inachaji na usishangae ukakimbiwa akishaona uchumi au hali flani imepungua ndani ya nyumba
wapi nimekuharibia? unataka nikuongelee upande mmoja wa silingi kama forex?Naona unaendeleza juhudi za makusudi kuniharibia....
Wewe mama unataka mahari tu...huyo mtoto mimi kashanipiga kibuti nimeshindwa kushindana na wale vijana....Sasa hapa circle ipi unaongelea mkwe(hope mmefikia paxuri na hs nianze kukuita mkwe)
Cc Heaven Sent Nalendwa
Basi hapo sawa.Hahaha!, mie nina dawa ya kutuliza mori.
Mmmmhmwanamke kama hujaolewa wewe ni single.unatema bigjii kwa karanga ya kuonjeshwa sio?
Kwa mwanangu nina roho mbaya zaidi ya mbaya yenyewe. Angekuwa ameridhika angeulizia kama hii fursa bado iko open?!!! Kusoma hujui hata picha.Tulia mama mbona kama una roho mbaya namna hyo mwanao mwenywe kardhika na maisha haya wewe unataka kitchen party tu hapo upewe vyombo vya uzeen
Heaven Sent hiv upogo aiseee
ila rrondo oa sasa .acha kutega wanawake.yaani ulivo wadada ndahani wakikutana na wewe siku ya kwanza kwenye intro huwa wanadata .tatizo unakaguuua hadi mainiaisee...upele umepata mkunaji!
Wewe unaomba Pesa na bint yako na yeye aombe nn unataka?Kwa mwanangu nina roho mbaya zaidi ya mbaya yenyewe. Angekuwa ameridhika angeulizia kama hii fursa bado iko open?!!! Kusoma hujui hata picha.
Hebu nitumie pesa kwanza.
Hahahaaa! Kumbe hata wewe ulikuwa unaliona hilo eeh! Haka katoto kana ukali fulani hivi wa kisukuma!! [emoji85][emoji85][emoji85]Umesahau jamaani!!!! Kweli Nakumbuka mimi nimekuzoea kwenye huu uzi wako tuu!!! Hata ule ulofungua nilihisi waweza nigombeza pia
We ng'ata kucha tu!![emoji109][emoji109][emoji109]Miss
Hakusema mapema ujue, nilikuwa single muda kweeli!!!
Sijasema Mimi lknAnataka kuoa malaika
Marahaba untie, D hajambo?Shkamo