MJADALA: Ni changamoto gani unakumbana nayo kwa kuchelewa kuoa/kuolewa?

MJADALA: Ni changamoto gani unakumbana nayo kwa kuchelewa kuoa/kuolewa?

Hahahaaa! Kumbe hata wewe ulikuwa unaliona hilo eeh! Haka katoto kana ukali fulani hivi wa kisukuma!! [emoji85][emoji85][emoji85]
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Hii ni kweli.
 
Kwa hilo jibu tu ni dhahiri kuwa haujaolewa, hebu changamkieni hizi fursa nyie watoto!!!

Utamfanya mdogo wangu Daby apasuke kichwa, hivi ulishawahi kuona mmasai handsome!!
Akija mwambie nipo sudan.
Daaah
 
Lengo langu la kufungua huu uzi karibu linatimia. Kuelewa ninachomaanisha refer my SIGNATURE....
 
Hahahaaa! Kumbe hata wewe ulikuwa unaliona hilo eeh! Haka katoto kana ukali fulani hivi wa kisukuma!! [emoji85][emoji85][emoji85]
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Hahaha
Nakwambia ile siku Sikuamini ka ndo Jina langu kweli... Namsomaga kimya kimya tuu, siku kanibamba wee... Nilifokewa mara moja tuu halafu si unajua jibu langu huwa ni 'Sawa' kama nikiona mtu kachukia
 
Mie sijaolewa hakuna atakayenifaa hapa jamani
Hahahahaha
Ngoja niangalie nakutana na Changamoto gani
Ahaaaaa halafu ntarudi
 
Hahaha
Nakwambia ile siku Sikuamini ka ndo Jina langu kweli... Namsomaga kimya kimya tuu, siku kanibamba wee... Nilifokewa mara moja tuu halafu si unajua jibu langu huwa ni 'Sawa' kama nikiona mtu kachukia
Ha ha ha ha nakumbuka hio post, kweli ulinijibu SAWA nikaishiwa pozi, ila sikukufokea nilikupa jibu short and clear...
 
Back
Top Bottom