Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe ulimfukuza mtoto mwenyewe, ona sasa ndio ashawahiwa. Ukiona pengine tena changamka haraka kabla giza halijaingia.Im trying to recall...
Hahahaaa!! Single until he says "i do" huh!!mwanamke kama hujaolewa wewe ni single.unatema bigjii kwa karanga ya kuonjeshwa sio?
HahahaHahahaaa! Kumbe hata wewe ulikuwa unaliona hilo eeh! Haka katoto kana ukali fulani hivi wa kisukuma!! [emoji85][emoji85][emoji85]
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Basi itabidi unilipe tu kwakweli.Wewe mama unataka mahari tu...huyo mtoto mimi kashanipiga kibuti nimeshindwa kushindana na wale vijana....
Samahani aunt nimeongea tu mimiWe ng'ata kucha tu!![emoji109][emoji109][emoji109]
Nilisubiri mrejesho weeee hata sikuletewa!!Haha [emoji23]
Nimejikuta nacheka tuu
Sijambo mimi!!!Marahaba untie, D hajambo?
Afadhali useme ukweliHii ni kweli.
Yeye pesa hana shida nayo kabisa.Wewe unaomba Pesa na bint yako na yeye aombe nn unataka?
Ha ha ha ha nakumbuka hio post, kweli ulinijibu SAWA nikaishiwa pozi, ila sikukufokea nilikupa jibu short and clear...Hahaha
Nakwambia ile siku Sikuamini ka ndo Jina langu kweli... Namsomaga kimya kimya tuu, siku kanibamba wee... Nilifokewa mara moja tuu halafu si unajua jibu langu huwa ni 'Sawa' kama nikiona mtu kachukia
Iandike hapa hebu... Hizi wereva hazionyeshi SIGNATURESLengo langu la kufungua huu uzi karibu linatimia. Kuelewa ninachomaanisha refer my SIGNATURE....
MmmmhHahahaaa!! Single until he says "i do" huh!!
Safi kabisa.
Haujambo mdogo wangu?Daaah
HahahaNilisubiri mrejesho weeee hata sikuletewa!!