MJADALA: Ni changamoto gani unakumbana nayo kwa kuchelewa kuoa/kuolewa?

Tulia mama mbona kama una roho mbaya namna hyo mwanao mwenywe kardhika na maisha haya wewe unataka kitchen party tu hapo upewe vyombo vya uzeen
Heaven Sent hiv upogo aiseee
Kwa mwanangu nina roho mbaya zaidi ya mbaya yenyewe. Angekuwa ameridhika angeulizia kama hii fursa bado iko open?!!! Kusoma hujui hata picha.

Hebu nitumie pesa kwanza.
 
Umesahau jamaani!!!! Kweli Nakumbuka mimi nimekuzoea kwenye huu uzi wako tuu!!! Hata ule ulofungua nilihisi waweza nigombeza pia
Hahahaaa! Kumbe hata wewe ulikuwa unaliona hilo eeh! Haka katoto kana ukali fulani hivi wa kisukuma!! [emoji85][emoji85][emoji85]
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…