MJADALA: Ni changamoto gani unakumbana nayo kwa kuchelewa kuoa/kuolewa?

Nna hamu ya kuwa na Mke,lakini tatizo najiuliza ntampata mwenye vigezo navyovihitaji,hapo tu ndipo huwa nakwama

Sent from my TECNO H5 using JamiiForums mobile app
Lets face it !!
Hakuna mtu perfect !!
Hata wazazi wako kasoro kibao !!
Dadazako si mnapishana kauli kila kukicha !!
Ma bro na ma dogo kununiana kupo!!

So just go out there pick one na upambane na hali yako !!

Wapo wazuuuri ila wanga !!
Wasomi ila ukweli hupate ile raha na heshima ya mke !! Aka hawanyenyekei !!

Welcome to the club.
Mambo mengine ni siri ya kiumeni hupati mpaka uoe !!!!
 
Nami nilikuwaga nachagua sana, kila mdada namtoa kasoro. Siku moja rafiki yangu akaniambia kwamba kama unataka mwanamke asiye na kasoro basi oa dada yako, khaaa!!

Since then, I came to realized that there things you need to compromise, vinginevyo hutaoa
 
Nyumba itageuka jukwaa LA kimataifa stories zitatawala za Pyongyang tu aaha
Hahahaaaa!! Ndio uanze kuzifuatilia vizuri ili muwe na cha kuongea.

Ila haya mambo bwana, unakuta mtu anapenda kitu gulani akikiongelea you have nothing to share lol!! Kuna kipindi niliwahi kuwa mfuatiliaji wa mpira duuuh!!
 
Wewe mtu umeahama mpaka Wilaya kuna Ujiran gan wa hvyo Sakayo huwa ananiazma majarida mbali mbali na magazeti mkarimu sana
Kwani unadhani nilihama wilaya, nilihma nyumba tu ila bado niko jirani sana, sema haujui tu.

Alafu nimekumbuka kitu ngoja kwanza!! [emoji57] [emoji57] [emoji57]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…