Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KabisaHahahaaa! Kumbe kakua!!
Basi sasa afanye tu kamchakato.
Lets face it !!Nna hamu ya kuwa na Mke,lakini tatizo najiuliza ntampata mwenye vigezo navyovihitaji,hapo tu ndipo huwa nakwama
Sent from my TECNO H5 using JamiiForums mobile app
Yule mwenye mdomo hawawezani [emoji125] [emoji125] [emoji125]Hee siku hzi yuko kwa Kaizer c niliskia yuko kwa yule jamaa mwengne kwel hii Kamata Fursa twenzetu dada yako simuwez
Dada wa hiar c huwa unanizima Majarida yale ya Femina uu umesahau jaman tena nasikia la mwez wa kumi limetoka hv ushanunua nipite JionNakuona ujue
Hahahaaaa!! Ndio uanze kuzifuatilia vizuri ili muwe na cha kuongea.Nyumba itageuka jukwaa LA kimataifa stories zitatawala za Pyongyang tu aaha
Yupo busyAisee...mara nyingi wakiokoka kunakuwa na sababu...mmemfanya nini huyo binti?
Bwana we acha tu nina alergy na kuombwa hela kwel yaan niko radhi naiche kodi nihame mtaaHaha
Kumbee nikiomba hela utahama eeh... Mwaya siombi
Kwani unadhani nilihama wilaya, nilihma nyumba tu ila bado niko jirani sana, sema haujui tu.Wewe mtu umeahama mpaka Wilaya kuna Ujiran gan wa hvyo Sakayo huwa ananiazma majarida mbali mbali na magazeti mkarimu sana
Ha ha ha yuko Miliman kwnye MaombiYupo busy kidogo jamani