If thats the case basi utakuwa unatafuta wale wenye vigezo vya wengi, na hao kwakuwa competation huwa kubwa basi nao huangalia sanaaaa x-factor.Ha ha ha i hope i got more to offer than money.
Na lately naona changes kubwa[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Kwa thread ninazoandika lately i expected this. Siwezi kushangaa mtu kusema hivyo, hata ningekuwa mimi ningemfikiria huyo mtu hivyo. ila trust me naandika makusudi, lately hamna thread za aina hii.
Mbona watu mnaogopa sana kuoa single moms eheee!!!? Nyambafuu.Single moms, dah!!
Mzazi mwenzie awe alikufa TENA kwa ajali. No offense!!
Aisee....hayaNa lately naona changes kubwa[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Kweli umekua,now its about time tuitwe aunty sie. Cc Heaven Sent.
Duh mkuu taratibu. Ni uamuzi binafsi tu, wapo ambao hawajali wanaoa yeyote.Mbona watu mnaogopa sana kuoa single moms eheee!!!? Nyambafuu.
Wana nini hao single moms hata kama baba mto bado yupo?
Tena nyie watanzania watanzania mbona hamzalishani ovyoo na single moms waliopo hapa ni wa kuhesabu, hebu nenda Nampula hapo ujionee wanawake wanavyo zalishwa ovyoo, yaani huwezi kukuta binti wa miaka 28 hana mtoto haijalishi ameolewa au hajaolewa, na wanaona kawaida tu na wanaolewa.
Sasa nashangaa nyie wabongo mnavyoogopa kuwaoa na kisingizio chenu eti mnaogopa kuchapiwa utafikiri hao ambao hawajazaa ndio huwa hawachapwi nje.
ndoa tamu andepo kuna maelewano kama kuna karaa uta ikimbia wenyeweRuka ruka weee Ila usikosee kuoa.....ndoa tamu asikwambie NTU
Na kweli bro chamsingi kupata ambaye anaye endana na tabia unazo zitaji weweDuh mkuu taratibu. Ni uamuzi binafsi tu, wapo ambao hawajali wanaoa yeyote.
Bahati nzuri au sijui niseme mbaya, sijawahi kufikia stage ya kusema huyu anafaa kuwa mrs then akanikataa.If thats the case basi utakuwa unatafuta wale wenye vigezo vya wengi, na hao kwakuwa competation huwa kubwa basi nao huangalia sanaaaa x-factor.
Hauwezi kumpata alie perfect 100% hebu angalia hao ulio nao tafuta mwenye unafuu na unayeona life litasonga then go for it. Bahati nzuri ulisema unahitaji wa kuridhika nae tu.
Usitoke povu kijana, ni mtazamo wangu!!Mbona watu mnaogopa sana kuoa single moms eheee!!!? Nyambafuu.
Wana nini hao single moms hata kama baba mto bado yupo?
Tena nyie watanzania watanzania mbona hamzalishani ovyoo na single moms waliopo hapa ni wa kuhesabu, hebu nenda Nampula hapo ujionee wanawake wanavyo zalishwa ovyoo, yaani huwezi kukuta binti wa miaka 28 hana mtoto haijalishi ameolewa au hajaolewa, na wanaona kawaida tu na wanaolewa.
Sasa nashangaa nyie wabongo mnavyoogopa kuwaoa na kisingizio chenu eti mnaogopa kuchapiwa utafikiri hao ambao hawajazaa ndio huwa hawachapwi nje.
Ha ha ha ha ha jua hapo wote hawo ni mali za wa2 kwako wanazuga washa wahiwa sema kuna mgogoro kati ya moja wapoBahati nzuri au sijui niseme mbaya, sijawahi kufikia stage ya kusema huyu anafaa kuwa mrs then akanikataa.
Nime kwelewa sanaa apo ume nena ila kuchapiwa mke ina uma sana sanaaaUsitoke povu kijana, ni mtazamo wangu!!
Shea chochote ila sio mke, wahenga walisema "mtalaka hatongozwi", na mapenzi ya wawili hao kamwe hayafi!!
Do it at your own risk!!
Mmmm unaweza fuata pesa uka fanywa chombo cha starehe lakini ndani una pata maumivu ya kupenda pesa cha msingi kuwa mwangalifu pesa siyo mnzuriKama bado unachagua halafu pesa huna jiandae... Tafuta pesa tuje kukulea kwa zamu.. Ila ukiwa huna hela utajibeba . pole na ubahili uache
YAAH WENGI MU`WAONGO SANA...Ha ha ha, ni noma.
Halafu unakuta unapo mweleza mtu kwamba hujaoa, huna mke hakubali. Mpaka uanze kutoa uthibitisho nk nk.
Uja chelewa umo umo nd'o kwenyewe ukiwa na umri mdogo sana nayo kazi ndoa uchukua miezi kazaa ina vunjika kisa mmoja wapo aja maliza ujana bado apo akili ya u2 zima usha ingia broMie naoa tarehe 14/10/2017. Niko >30 <35 ila najiona nimechelewa kidogo.