MJADALA: Ni changamoto gani unakumbana nayo kwa kuchelewa kuoa/kuolewa?

Ila tumehama mada. Hivi si Ulitaka kujua changamoto za kuchelewa kuoa?

Kwangu mie nionavyo (mie paw aliniwahi kabla sijajua kuvuka barabara na kuvuta bhange. Bhange kanifunza mwenyewe ). Umri unavyoenda ndio unavyozidi kufanikiwa. Kwa mahaba ya siku hizi mtu akikuambia ai lavu yuu huwezi kujua anaongea na kazi yako, mavazi, uturi, kidevu, saa ama gari yako. Kwa maana hiyo unaweza ukapishana na upendo wa kweli ukaangukia pua.
 
Kutoona haina maana kitu hakipo!
%kubwa ni walezi wazuri wa familia, wana muda wa kutosha(kazi haiwabani sana) hivyo hata kama kuna vimradi vya kusimamia wanamudu vizuri,hawana semina na safari za kikazi hivyo wana muda na familia, kwakuwa wanakuwa na watoto sana ni wavumilivu, sio wajuaji(nafikiri hii inachangiwa na mazingira ya kazi pia), nk nk nk.

Ila kwa siku hizi mambo tafrani[emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Inategemea hiyo pipi unaimungunya je ndoa ni jinsi mnavyoishi mkiishi vizuri mtaifurahia mkiishi vibaya hutaifurahia ndoa ni takatifu hivo yapaswa kuiushi kitakatifu na kwa kuchukuluana kimapungufu umri sii kigezo mradi upendo wa kweli na upendo wa kweli chongo huita kengeza ilhali ni chongo

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Nimependa ushauri wako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…