Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa bwanaHata mimi naona...
TehyHa ha ha ha.....hio sawa vipi?
All the same lkn zipoBasi kama ziko chache hiyo inamaanisha ni aina ya ndoa ambazo zinawakutasha watu wasio sahihi ndio maana ni chache sana.
Naona umerudia eeeh... Basi Sawa tuuSawa bhana...
leta mkono[emoji3]Nionjeshe mboga yako....
hahahaaaNaona umejidifend kwa kujiwekamo
tena wanaume ukute umri umeenda si mtalaka wala mgane huwa ni tatizo balaa yaani kote ulikopita hakuna mwanamke hata mmoja amejaribu kuku pin down!Hapana. Siwezi kujishusha kiasi hicho.
Aisee hawa wakuogopa hawa siku akikaa usawa wa mlango wako tu msukumie ndani ataenda angukia kitandaniii na kufunika uso tu vyoote anakuachiaHata mimi naona...
Naona unamaliza hasira zote za kugombezwa leoNaona umerudia eeeh... Basi Sawa tuu
Huo ni uchochezi Manga jamani...Naona unamaliza hasira zote za kugombezwa leo
Haha we pacha wewe na wewe unakubali kweli mimi nisiwe nimekumisi inawezekana vipiNo comment.
Ngoja tu nichochee dukuku lako umalize kwa amani napendaga ufurahi tuHuo ni uchochezi Manga jamani...
[emoji23] [emoji23] kumbe je? Yaani unashindwa kunipa attention pacha wako ndo utaweza kumpa wifi jamani...Charity begins at home atiiNajua ulikuwa unataka attention...