MJADALA: Ni changamoto gani unakumbana nayo kwa kuchelewa kuoa/kuolewa?

MJADALA: Ni changamoto gani unakumbana nayo kwa kuchelewa kuoa/kuolewa?

Mbona watu mnaogopa sana kuoa single moms eheee!!!? Nyambafuu.

Wana nini hao single moms hata kama baba mto bado yupo?

Tena nyie watanzania watanzania mbona hamzalishani ovyoo na single moms waliopo hapa ni wa kuhesabu, hebu nenda Nampula hapo ujionee wanawake wanavyo zalishwa ovyoo, yaani huwezi kukuta binti wa miaka 28 hana mtoto haijalishi ameolewa au hajaolewa, na wanaona kawaida tu na wanaolewa.

Sasa nashangaa nyie wabongo mnavyoogopa kuwaoa na kisingizio chenu eti mnaogopa kuchapiwa utafikiri hao ambao hawajazaa ndio huwa hawachapwi nje.
Daaah kweli kabusaa mkuu umenena wanawabagua sana dada zetu hawa wanao waita single mom. Kwakuwa tuu wengi wao wamezalishwa et!!
 
Back
Top Bottom