MJADALA: Ni changamoto gani unakumbana nayo kwa kuchelewa kuoa/kuolewa?

MJADALA: Ni changamoto gani unakumbana nayo kwa kuchelewa kuoa/kuolewa?

Hapana espy. Kuna wanaume wa kiafrika wanaotambua thamani ya mtoto wa kike, na wanamlinda kwa Nguvu na akili zao zote. Yaani huyu mmoja asikukatishe tamaa. Ndio maana natamani huyo dada yake alieolewa kwa ubani tu angekuwa wifi yangu nikamuambia mimi babangu alitaka kama symbol tu kuwa mahari ililipwa na hakukuwa na biashara ya kuuza bintiye. Kwamba mahari haiongezi ama kupunguza thamani yako.

Tutafika tu. Tuwafundishe watoto wetu wa kiume ili wakathamini wanawake wengine.
Mamii sikumaanisha wote, si unajua ile notion ya "wengi wape"!! Kwahiyo wale wachache wanamezwa na wale wengi.

Nimependa ulivyomalizia, kwakweli tatizo kubwa ni malezi. Tuwalee watoto wetu ktk njia ifaayo.
 
Nimekuelewa mpenzi. Ila namaanisha hata hawa kina Nokia wamebakia wachache. Nahisi ndio wanaishilia [emoji38] [emoji38]

Achana nae. Hebu Mpe moyo binti mmoja, mtamkie maneno ya baraka kwa akiba ya siku zijazo.
Mamii sikumaanisha wote, si unajua ile nortion ya "wengi wape"!! Kwahiyo wale wachache wanamezwa na wale wengi.

Nimependa ulivyomalizia, kwakweli tatizo kubwa ni malezi. Tuwalee watoto wetu ktk njia ifaayo.
 
Nimekuelewa mpenzi. Ila namaanisha hata hawa kina Nokia wamebakia wachache. Nahisi ndio wanaishilia [emoji38] [emoji38]

Achana nae. Hebu Mpe moyo binti mmoja, mtamkie maneno ya baraka kwa akiba ya siku zijazo.
Wanawake tulinyang'anywa mbawa alafu tunalaumiwa kwanini haturiki, mfumo dume umemfanya mwanamke ajione asie na thamani na kwa bahati mbaya nasi tuliruhusu huu mfumo utuingie akilini na kututawala hata namna ya kufikiri na kutenda.

Tunapaswa tujitambue sasa, tuijue thamani yetu, mawe yanayorushwa kwetu ili tu tusifikie malengo basi tuyatumie kujenga ngazi na kufikia pale tunapopataka. Mkombozi wetu ni sisi wenyewe maana ndio walezi. Tuanze ktk ngazi ya familia kwa kuwajenga watoto wetu wajithamini,wajiheshimu,wajijali,wajitambue,....na wafanya vivyo hivyo kwa wengine.

Heri ya siku ya mtoto wa kike duniani.
 
Mbona vibabu hua vinaoa vibinti?Hiyo nadharia yako inabidi ichukuliwe kwa tahadhari ila nakubaliana na mada kua kuchelewa kuo ni changamoto sana,ni vizuri ikiwezekana tuoe tukiwa na miaka 25 kwa me na kwa ke kuanzia miaka 18.

Kwanza umenisoma na ukanielewa vizuri?

Hivyo vibabu vinavyooa vibinti huwa ni kwa maridhiano toka moyoni kwa pande zote mbili au ni msukumo tu wa sababu za ziada tofauti na hisia za kimapenzi?

Haya tu-assume kuwa kuna mabinti wanapenda kuolewa na vibabu toka moyoni mwao na pia kuna vibabu vinapenda kuoa vibinti toka moyoni kabisa!

Sasa je couples za aina hii umeshawahi kuziona ngapi kwenye jamii tuliyonyo ukilinganisha na hizi zingine ambazo watu wanaoana wakiwa na umri unaokaribiana?
 
Ziko chache
 
Hivi jibu langu liko Wapii
 
Afadhali ukosee kujenga...

Hii ni ishara ya woga. Woga wako ukapera wako. Ukikosea si basi unajipanga upya?

Changamoto zangu:

1. Wanaume 6 kati ya 10 wanaotaka kunioa ni marioo na mimi siko tayari kuoa. Wanne wanaobaki mara nyingi wanakuwa na viporo ambavyo hawajavishughulikia au wanataka mke kwa sababu ambazo kwangu ni nyepesi.
2. Nina ubinafsi. Kila nikiwaza kuanza maisha tofauti na niliyozoea huwa napata uzito sana.
3. woga - nina mtoto - nahofia ustawi wake.
 
Back
Top Bottom