Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,548
- 63,038
Lazima liverfool akachezee...Oooops...weekend vipi mkuu? Tunazoea 3pts 4G style?
Tena nasikia wanaishu ya kuzindua uwanja.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lazima liverfool akachezee...Oooops...weekend vipi mkuu? Tunazoea 3pts 4G style?
Na mie ndo nlitaka kuuliza hivyo hivyoSoo dada yako hajithamini... si ndivyo eti leteni ubani nyeee yani familia nyingine hasara tupu
Mamii sikumaanisha wote, si unajua ile notion ya "wengi wape"!! Kwahiyo wale wachache wanamezwa na wale wengi.Hapana espy. Kuna wanaume wa kiafrika wanaotambua thamani ya mtoto wa kike, na wanamlinda kwa Nguvu na akili zao zote. Yaani huyu mmoja asikukatishe tamaa. Ndio maana natamani huyo dada yake alieolewa kwa ubani tu angekuwa wifi yangu nikamuambia mimi babangu alitaka kama symbol tu kuwa mahari ililipwa na hakukuwa na biashara ya kuuza bintiye. Kwamba mahari haiongezi ama kupunguza thamani yako.
Tutafika tu. Tuwafundishe watoto wetu wa kiume ili wakathamini wanawake wengine.
Mamii sikumaanisha wote, si unajua ile nortion ya "wengi wape"!! Kwahiyo wale wachache wanamezwa na wale wengi.
Nimependa ulivyomalizia, kwakweli tatizo kubwa ni malezi. Tuwalee watoto wetu ktk njia ifaayo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Oooops...weekend vipi mkuu? Tunazoea 3pts 4G style?
Wanawake tulinyang'anywa mbawa alafu tunalaumiwa kwanini haturiki, mfumo dume umemfanya mwanamke ajione asie na thamani na kwa bahati mbaya nasi tuliruhusu huu mfumo utuingie akilini na kututawala hata namna ya kufikiri na kutenda.Nimekuelewa mpenzi. Ila namaanisha hata hawa kina Nokia wamebakia wachache. Nahisi ndio wanaishilia [emoji38] [emoji38]
Achana nae. Hebu Mpe moyo binti mmoja, mtamkie maneno ya baraka kwa akiba ya siku zijazo.
Mkwe..[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yaani nimecheka ulivyoingiza mpira ghafla!!
Mbona vibabu hua vinaoa vibinti?Hiyo nadharia yako inabidi ichukuliwe kwa tahadhari ila nakubaliana na mada kua kuchelewa kuo ni changamoto sana,ni vizuri ikiwezekana tuoe tukiwa na miaka 25 kwa me na kwa ke kuanzia miaka 18.
Ziko chacheKwanza umenisoma na ukanielewa vizuri?
Hivyo vibabu vinavyooa vibinti huwa ni kwa maridhiano toka moyoni kwa pande zote mbili au ni msukumo tu wa sababu za ziada tofauti na hisia za kimapenzi?
Haya tu-assume kuwa kuna mabinti wanapenda kuolewa na vibabu toka moyoni mwao na pia kuna vibabu vinapenda kuoa vibinti toka moyoni kabisa!
Sasa je couples za aina hii umeshawahi kuziona ngapi kwenye jamii tuliyonyo ukilinganisha na hizi zingine ambazo watu wanaoana wakiwa na umri unaokaribiana?
Hivi jibu langu liko WapiiKwanza umenisoma na ukanielewa vizuri?
Hivyo vibabu vinavyooa vibinti huwa ni kwa maridhiano toka moyoni kwa pande zote mbili au ni msukumo tu wa sababu za ziada tofauti na hisia za kimapenzi?
Haya tu-assume kuwa kuna mabinti wanapenda kuolewa na vibabu toka moyoni mwao na pia kuna vibabu vinapenda kuoa vibinti toka moyoni kabisa!
Sasa je couples za aina hii umeshawahi kuziona ngapi kwenye jamii tuliyonyo ukilinganisha na hizi zingine ambazo watu wanaoana wakiwa na umri unaokaribiana?
Marahaba mkwe wangu, habari za weye!Mkwe..
Shikamoo
MbayaMarahaba mkwe wangu, habari za weye!
Yaani haka katoto!! [emoji134] [emoji134] [emoji134]Mbaya
Mpaka saivi sijaona nikiitwa lunch, auntie ni uungwana kweeli jamaniYaani haka katoto!! [emoji134] [emoji134] [emoji134]
Haya nini mbaya?
Hata mimi nisingekuita[emoji85] [emoji85] [emoji85]Mpaka saivi sijaona nikiitwa lunch, auntie ni uungwana kweeli jamani
Afadhali ukosee kujenga...
Not to that Extent...Mbaya