somji
Senior Member
- Jan 11, 2015
- 114
- 67
TutaftaneChangamoto kubwa nilikutana nao wanaume wengi wamezidi 'umama' khaaa waongo,wavivu na magubu ndo msiseme.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TutaftaneChangamoto kubwa nilikutana nao wanaume wengi wamezidi 'umama' khaaa waongo,wavivu na magubu ndo msiseme.
Yamekuwa hayo tena jamaniHata mimi nisingekuita[emoji85] [emoji85] [emoji85]
SorryNot to that Extent...
Kumbee dogo eeehHahahaaaa! Hilo tuuu
Babe...Sorry
Wewe na nani?Karibu tume kumiss
Daaah kweli kabusaa mkuu umenena wanawabagua sana dada zetu hawa wanao waita single mom. Kwakuwa tuu wengi wao wamezalishwa et!!Mbona watu mnaogopa sana kuoa single moms eheee!!!? Nyambafuu.
Wana nini hao single moms hata kama baba mto bado yupo?
Tena nyie watanzania watanzania mbona hamzalishani ovyoo na single moms waliopo hapa ni wa kuhesabu, hebu nenda Nampula hapo ujionee wanawake wanavyo zalishwa ovyoo, yaani huwezi kukuta binti wa miaka 28 hana mtoto haijalishi ameolewa au hajaolewa, na wanaona kawaida tu na wanaolewa.
Sasa nashangaa nyie wabongo mnavyoogopa kuwaoa na kisingizio chenu eti mnaogopa kuchapiwa utafikiri hao ambao hawajazaa ndio huwa hawachapwi nje.
SijamboSakayo hujambo mama?
Ngoja nipitie comments za siku ile nijue kwanza uliniuliza nini... [emoji2] [emoji2] [emoji2]
AbeeBabe...
Aisee pacha mbona mnaniitaita sana huku af nikija mnauchuna[emoji57] [emoji57]
[emoji11][emoji11]Abee
[emoji7] [emoji7] [emoji7][emoji11][emoji11]
Kho Kho Kho Kho KhoNionjeshe mboga yako....
Mimi sijawamisi
MazuriMambo?