MJADALA: Ni changamoto gani unakumbana nayo kwa kuchelewa kuoa/kuolewa?

Watu wapo wala usitishwe na maneno ya watu; wewe cha kufanya angalia mambo ya msingi kwa yule unaye mtaka basi. Ila ukisema awe ametimia kila idara hapo ndipo pagumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…