MJADALA: Ni changamoto gani unakumbana nayo kwa kuchelewa kuoa/kuolewa?

MJADALA: Ni changamoto gani unakumbana nayo kwa kuchelewa kuoa/kuolewa?

Ruka ruka weee Ila usikosee kuoa.....ndoa tamu asikwambie NTU
Utamu wa ndoa ni kama utamu wa pipi, ni tamu sana pipi inapokuwa mpya ila inapungua utamu kila inavyopata muda wa jukaa mdomoni maana inapungua ukubwa wake, mwisho itaisha na mdomo utabaki na utamu wa mate yake.
Mtu akukwambia ndoa tamu mwanzo mwisho ni muongo mkubwa.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hivi kumbe kulala mapema ndio kuota!! Leo nalala saa 1 kabisa ili niote vizuri.
Ukilala mida hiyo,kufikia saa 11 alfajiri utakuwa umeshaota ndoto tano,who knows kati ya hizo tano waweza ambulia hata moja 😉😉😉
 
Sijui kuna nini huko aunt!! Ni dunia inginee auu
Mie huwa naona inatajwa kwenye mambo ya ajabu ajabu tu, hivyo hata sikuwahi kufikiria kwenda kuangaza ni nini kinaendlea huko!!
 
Ulipotelea wapi wee kiumbe? Nimekuota weee mpaka nimechoka,wacha nitafute mwingine wa kumuota!
khaah... watu wanaishi na ndoto miaka kumi wewe viwiki tu umesusa kuniota.
tuendeleee kuotana bwana maana mimi sku hizi silali
 
khaah... watu wanaishi na ndoto miaka kumi wewe viwiki tu umesusa kuniota.
tuendeleee kuotana bwana maana mimi sku hizi silali
Kwa jinsi ulivyo na nyota ya mng'ao,nahisi kwa usiku mmoja tu unaotwa na watu mia,wacha nijaribu kwingineko!
 
Kwa jinsi ulivyo na nyota ya mng'ao,nahisi kwa usiku mmoja tu unaotwa na watu mia,wacha nijaribu kwingineko!
wewe unapataga akili ukiwa karibu na safari mkononi sasa hivi hatutaelewana
 
Ahsante kwa ushauri bado nafasi ya kusubiri ipo kinachofanya iwe ivyo ni maisha ya ujana. Binafsi niliomba niishi maisha ya uaminifu hadi pale nitakapokutana na mtu ambaye atakuwa nami maishani, thanks God huyu binti four years back ndipo nlipokutana nae.
Nipo tayari kusubiri hata miaka mitano, mwakani tutaangalia lakini kuanzia mwaka kesho nitakua tayari mda wowote.
Thanks kwa ushauri.
Safi
 
Kwamba ndoto yaweza unganisha hawa watu kirahisi eeh! Ngoja na mimi nijifunze kulala mapema labda naweza kuota mtu hapa akaniondolea huu "u-senior bachelor"
Mimi nimekwisha kuota wewe zaidi ya mara 3 naona usenior umekwisha mama. Bado uhalisia tu
 
Kiukweli sijaoa bado ila kuna demu hajaolewa pia ila ana mtoto tayari ila ni mrembo kiasi chake mtoto kampeleka kwa mama yake huko kijijini na ana miaka mitano sasa ila mimi ni kama prondo tu sitaki kuwahi kuoa au kuoa mwanamke mwenye mtoto
Na ananing'ang'ania kweli yani
 
wewe unapataga akili ukiwa karibu na safari mkononi sasa hivi hatutaelewana
Chondechonde.......usijeniharibia kwa nitakaemuota,maana nimepanga kumdanganya kuwa sijawahi onja kilevi cha aina yoyote ile!

Tafadhali ni-PM safari 4 nina kiu balaa (isionwe na mwingine zaidi yako)
 
Back
Top Bottom