Kete Ngumu
JF-Expert Member
- Nov 21, 2014
- 6,656
- 6,886
Utamu wa ndoa ni kama utamu wa pipi, ni tamu sana pipi inapokuwa mpya ila inapungua utamu kila inavyopata muda wa jukaa mdomoni maana inapungua ukubwa wake, mwisho itaisha na mdomo utabaki na utamu wa mate yake.Ruka ruka weee Ila usikosee kuoa.....ndoa tamu asikwambie NTU
Mtu akukwambia ndoa tamu mwanzo mwisho ni muongo mkubwa.