Kete Ngumu
JF-Expert Member
- Nov 21, 2014
- 6,656
- 6,886
Utamu wa ndoa ni kama utamu wa pipi, ni tamu sana pipi inapokuwa mpya ila inapungua utamu kila inavyopata muda wa jukaa mdomoni maana inapungua ukubwa wake, mwisho itaisha na mdomo utabaki na utamu wa mate yake.Ruka ruka weee Ila usikosee kuoa.....ndoa tamu asikwambie NTU
wacha wee..... niote basiKwamba ndoto yaweza unganisha hawa watu kirahisi eeh! Ngoja na mimi nijifunze kulala mapema labda naweza kuota mtu hapa akaniondolea huu "u-senior bachelor"
Ukilala mida hiyo,kufikia saa 11 alfajiri utakuwa umeshaota ndoto tano,who knows kati ya hizo tano waweza ambulia hata moja 😉😉😉[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hivi kumbe kulala mapema ndio kuota!! Leo nalala saa 1 kabisa ili niote vizuri.
Mie huwa naona inatajwa kwenye mambo ya ajabu ajabu tu, hivyo hata sikuwahi kufikiria kwenda kuangaza ni nini kinaendlea huko!!Sijui kuna nini huko aunt!! Ni dunia inginee auu
Hivi si unaweza panga wa kumuotaeeh!!Ukilala mida hiyo,kufikia saa 11 alfajiri utakuwa umeshaota ndoto tano,who knows kati ya hizo tano waweza ambulia hata moja 😉😉😉
Ulipotelea wapi wee kiumbe? Nimekuota weee mpaka nimechoka,wacha nitafute mwingine wa kumuota!wacha wee..... niote basi
AiseeMie huwa naona inatajwa kwenye mambo ya ajabu ajabu tu, hivyo hata sikuwahi kufikiria kwenda kuangaza ni nini kinaendlea huko!!
HahahaUnagonga mle mle!
Bado huna uhitaji.Mimi sijui hata ninamhitaji mke wa namna gani?
Kabisa......ila sasa uninong'oneze uliyepanga kumuota ili tusije gonganisha ndoto 🙂🙂Hivi si unaweza panga wa kumuotaeeh!!
khaah... watu wanaishi na ndoto miaka kumi wewe viwiki tu umesusa kuniota.Ulipotelea wapi wee kiumbe? Nimekuota weee mpaka nimechoka,wacha nitafute mwingine wa kumuota!
Kwa jinsi ulivyo na nyota ya mng'ao,nahisi kwa usiku mmoja tu unaotwa na watu mia,wacha nijaribu kwingineko!khaah... watu wanaishi na ndoto miaka kumi wewe viwiki tu umesusa kuniota.
tuendeleee kuotana bwana maana mimi sku hizi silali
wewe unapataga akili ukiwa karibu na safari mkononi sasa hivi hatutaelewanaKwa jinsi ulivyo na nyota ya mng'ao,nahisi kwa usiku mmoja tu unaotwa na watu mia,wacha nijaribu kwingineko!
Nitakae muota nitam-PM,nisijesababisha mgongano wa kimaslahi!Ukiota niletee mrejesho.
SafiAhsante kwa ushauri bado nafasi ya kusubiri ipo kinachofanya iwe ivyo ni maisha ya ujana. Binafsi niliomba niishi maisha ya uaminifu hadi pale nitakapokutana na mtu ambaye atakuwa nami maishani, thanks God huyu binti four years back ndipo nlipokutana nae.
Nipo tayari kusubiri hata miaka mitano, mwakani tutaangalia lakini kuanzia mwaka kesho nitakua tayari mda wowote.
Thanks kwa ushauri.
Mimi nimekwisha kuota wewe zaidi ya mara 3 naona usenior umekwisha mama. Bado uhalisia tuKwamba ndoto yaweza unganisha hawa watu kirahisi eeh! Ngoja na mimi nijifunze kulala mapema labda naweza kuota mtu hapa akaniondolea huu "u-senior bachelor"
Chondechonde.......usijeniharibia kwa nitakaemuota,maana nimepanga kumdanganya kuwa sijawahi onja kilevi cha aina yoyote ile!wewe unapataga akili ukiwa karibu na safari mkononi sasa hivi hatutaelewana