MJADALA: Ni changamoto gani unakumbana nayo kwa kuchelewa kuoa/kuolewa?

MJADALA: Ni changamoto gani unakumbana nayo kwa kuchelewa kuoa/kuolewa?

kila kitu kina faida yake na hasara pia. kuoa mdogo unaweza kupata kizazi mapema ukakikuza vzr katika mila,silka, dini na tamaduni hivyo basi unanjijengea kiinua mgongo ungali mapema huenda kizazi chako kikakupa msaada uzeeni kwako na ndio matumaini ya wazazi Wengi. Vile vile ndoa ya mapema inaweza kukunyima fursa za kujipanga vyema kiuchumi, kujirusha na totoz, debe na mmb ya uvulana. nawasahauri tuoe mapema
Hiyo kujilusha si kigezo ukiwa nazo unajilusha vyovyote uwavyo
 
umepotea best !kila nikiona jina lako nakumbukia mada fulan nilichekka had machozi ya [HASHTAG]#helloo[/HASHTAG] lol ! nimekumiss aisee !
Ndugu yangu nilipata msiba nikasafiri ss huko nilikuwa napitia tu muda wa kuandika comment nikawa sina kwasasa nipo
 
Mimi cha kwanza sitaki kuolewa na mwanaume mwenye mtoto we mungu nisaidie,
--sitaki kuolewa na mwanaume chini ya miaka 27
--sitaki kuolewa na mwanaume ambaye hajasoma ee mungu nisaidie.....

Lkn bado sijaona sababu ya mimi kuolewa coz kwangu siyo lazimaa
We should be friends
 
Back
Top Bottom