Manga ML
JF-Expert Member
- Jul 6, 2013
- 9,805
- 15,529
Wewe hujamuelewa huyu amelenga mmiliki wa uzi.Unawataka wa umri gani nikuunganishe na baba yangu TGInnocent
Usije sema sijakufumbua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe hujamuelewa huyu amelenga mmiliki wa uzi.Unawataka wa umri gani nikuunganishe na baba yangu TGInnocent
Ndugu wa faida?Ni ndugu bhana...
Naomba unitagAsante kwa kunijali mwaya.Nitakunong'oneza baadae........PRONDO asijetulalamikia eti uzi wake tumeugeuza LOVE CONNECT
Mi napenda niolewe na mtu mwenye miaka 38-45
Akiwa na 60 basi aw kama mengi hehehehehe sijui ntampata wapi
Umeona eeee!!! Tuandae tu michango mkuu
Hiyo kujilusha si kigezo ukiwa nazo unajilusha vyovyote uwavyokila kitu kina faida yake na hasara pia. kuoa mdogo unaweza kupata kizazi mapema ukakikuza vzr katika mila,silka, dini na tamaduni hivyo basi unanjijengea kiinua mgongo ungali mapema huenda kizazi chako kikakupa msaada uzeeni kwako na ndio matumaini ya wazazi Wengi. Vile vile ndoa ya mapema inaweza kukunyima fursa za kujipanga vyema kiuchumi, kujirusha na totoz, debe na mmb ya uvulana. nawasahauri tuoe mapema
Hiyo faida veepeNdugu wa faida?
Teh teh..Basi mkuu..YameishaHiyo faida veepe
SawaTeh teh..Basi mkuu..Yameisha
MBITIYAZA hujambo best
Ndugu yangu nilipata msiba nikasafiri ss huko nilikuwa napitia tu muda wa kuandika comment nikawa sina kwasasa nipoumepotea best !kila nikiona jina lako nakumbukia mada fulan nilichekka had machozi ya [HASHTAG]#helloo[/HASHTAG] lol ! nimekumiss aisee !
Usicheke sana mambo ya maisha ni kazi kama kazi nyingineumepotea best !kila nikiona jina lako nakumbukia mada fulan nilichekka had machozi ya [HASHTAG]#helloo[/HASHTAG] lol ! nimekumiss aisee !
Ndugu yangu nilipata msiba nikasafiri ss huko nilikuwa napitia tu muda wa kuandika comment nikawa sina kwasasa nipo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mie ndio dawa yake ataacha tu.
Asante sana best nishakaribiajaman pole mnoo !karibu tena
Ujirani wetu hakuna wa kuujengea ukuta wa mererani usihofu jiraniNatumai ujirani wetu utabaki pale plae hata akikuwowa
We should be friendsMimi cha kwanza sitaki kuolewa na mwanaume mwenye mtoto we mungu nisaidie,
--sitaki kuolewa na mwanaume chini ya miaka 27
--sitaki kuolewa na mwanaume ambaye hajasoma ee mungu nisaidie.....
Lkn bado sijaona sababu ya mimi kuolewa coz kwangu siyo lazimaa
Heri ya nini tena mpendwa?Kila la heri wapendwa