Konda wa bodaboda
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,981
- 4,170
Usithubutu kung'oa jino la juu, unaweza poteza maisha au kupooza mwili mzima. Dawa ya jino ni mkojo tu.Dawa ya jino ni kung'oa mara nyingi hayo madawa huwa naona ni ubabaishaji tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usithubutu kung'oa jino la juu, unaweza poteza maisha au kupooza mwili mzima. Dawa ya jino ni mkojo tu.Dawa ya jino ni kung'oa mara nyingi hayo madawa huwa naona ni ubabaishaji tu.
Uking'oa unakuwa umetibu nini sasa, jino au pengo?Dawa ya jino ni kung'oa mara nyingi hayo madawa huwa naona ni ubabaishaji tu.
Mkuu mara nyingi meno yanayouma ni yale mabovu yaliyo na mashimo sasa hata ukitumia hayo madawa huwa yanatuliza kwa mda tu baadaye huanza kuuma tena sasa unapolitoa unakuwa umetoa usumbufu wote ingawa utabaki na pengo.Uking'oa unakuwa umetibu nini sasa, jino au pengo?
https://www.jamiiforums.com/threads/jino-langu-linauma-sana-usiku.1052029/page-2#post-20276424Hiyo tiba ya mkojo unafanyaje... Unaipaka kwenye jino au unakunywa??
Nenda katika maduka ya awa asili utapataMkuu shabu ndio nini na inapatikana wapi
Utayapata maduka ya dawa asiliAsante Mkuu., ila shabu au makata meupe ni nini na naweza kuyapata wapi? Nitashukuru nikipata reply
Huo ni usemi tuu ambao hauna maana, na ukiufuatilia utapoteza meno yako bureeDawa ya jino ni kulitoa
Asante sanaUtayapata maduka ya dawa asili