Mjadala: Ni jambo gani kwenye Maisha yako lilichelewa sana? Ila sasa unaona kawaida sana

Saf
Nilitamani sana kusafiri nje ya nchi. Lakini hivi sasa ni jambo la kawaida. Naona kazi kubwa ni kuijenga Tanzania ili tufike mbali kama nchi za wenzetu na iwe ni sehemu ya kujivunia na wageni kuja kujifunza.
Safi
 
Nilitamani nipate muda wa kufurahi na mume wangu tena baada ya kuugua kwake, lakini sikupata tena muda huo kwa kufariki kwake. I hope I will meet him soon.
Ameeen.
Pole saana[emoji2731][emoji2731][emoji2731][emoji2731]
 
Safi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…