Mayu
JF-Expert Member
- May 11, 2010
- 7,621
- 12,505
Ikigonga unakimbia na ikigongwa unamkimbiza aliyekugonga. Simple tu
Kuna jamaa alikwarua gari ya mwenzake akavunja taa ya mbele wakati anapaki baa
Aliyepasuliwa taa akataka jamaa amlipe bei ya taa na ufundi wamalizane
Mshkaji akagoma akasema ita trafiki waje kupima atalipwa na bima na ndio maana amelipia bima gari yake
Mgongwaji akaondoka...... jamaa alipomaliza bia zake ile kutoka akakuta taa zote zimevunjwa halafu jamaa hamjui [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]