Ikigonga unakimbia na ikigongwa unamkimbiza aliyekugonga. Simple tu
Kuna jamaa alikwarua gari ya mwenzake akavunja taa ya mbele wakati anapaki baa
Aliyepasuliwa taa akataka jamaa amlipe bei ya taa na ufundi wamalizane
Mshkaji akagoma akasema ita trafiki waje kupima atalipwa na bima na ndio maana amelipia bima gari yake
Mgongwaji akaondoka...... jamaa alipomaliza bia zake ile kutoka akakuta taa zote zimevunjwa halafu jamaa hamjui [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unalipa bima ya nini?Safi yaani ugonge gari badala ukubali mmalizane kiroho safi we unaleta ubabe..anajua process za bima uyu?
Safi,mambo mengine ni kumaliza kistaarabu tuPana jamaa aligonga Ford Bantam maeneo ya Ngarenaro hapo ile Bantam body yake ni chuma yeye alikua na Alphard kwa alivyokaona kagari kadogo alijua Bantam ndio imeumia maana aliivaa hakuona kuwa mataa yameruhusu upande mwingine gari yake ndio imeharibika anaomba msamaha tuongee nikamwambia wewe nenda katengeneze gari yako sihitaji kulipwa hii ni pick up mibonyeo itakutana nayo tu...labda niwe nimechoka au iwe ajali kubwa hivi vya michubuko huwa nawaambia tembea tuu na hawaamini inaonekana wao wakiguswa wanalipisha watu...ukizoea kulipisha utakuja kulipishwa na hautakuja kuamini utakavyokomaliwa...
[emoji28][emoji28]Kuna jamaa alikwarua gari ya mwenzake akavunja taa ya mbele wakati anapaki baa
Aliyepasuliwa taa akataka jamaa amlipe bei ya taa na ufundi wamalizane
Mshkaji akagoma akasema ita trafiki waje kupima atalipwa na bima na ndio maana amelipia bima gari yake
Mgongwaji akaondoka...... jamaa alipomaliza bia zake ile kutoka akakuta taa zote zimevunjwa halafu jamaa hamjui [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwanini,wanalongolongo sana?
Hii sheria ipo sana lorry langu niliweka porini kubadili caskets na kuiondoa barabaraniAisee mimi sikugonga wala kugongwa ila gari yetu iligonga nguzo barabarani.
Aisee mziki wa kule police sio wa mchezo ila shughuli iko zaidi TANROADS kama ukiwa umeharibu miundombinu yao na watu wengi hawajui hili,yaani pesa utakayotajiwa unaweza ukazimia.
Nilikuta magari pale Tanroads jamaa wameyatelekeza baada ya kushindwa kulipa uharibifu walioufanya kwny miundombinu kwny ajali mbalimbali.
Nina mfano hapa ila hauna uhusiano na ajali,Kuna jamaa wa Fuso yeye alipata Breakdown highway akamwaga oil barabarani aliambiwa alipe Tsh. 3mil kwa uharibifu wa lami.
So wkt ajali inatokea muwe mnaomba kusiwe na uharibifu umetokea kwny miundombinu ya Tanroads.,hakika utalichukia gari lako na kujuta nani alikutuma ulinunue.
Sijui hata ilifia wapi. Hadi leo ninasubiri kuitwa kwenda kutoa ushahidi mahakamani kuhusu hiyo ajali.Ok,kwahio kesi ndio bado?
This sound cool! Daah safi sana. Nimejifunza kitu. Ila pia umemkuta muelewa mkaelewana, assume ungemkuta king'ang'anizi afu unamwamba nimekupiga teke kidogo, asee!Weekend hii na uchovu usiku nikamgonga jamaa nyuma. Jamaa kashuka na mimi nikashuka. Jamaa yuko cool na mimi nimepos. Nikamwambia naona nimekupigs teke kidogo.
Hapo njia finyu na tushazuia magari nikamwambia tutoke hapa twende mbele ambapo kuna nafasi. Alaondoa gari nikamfuata nyuma kama 300m hivi tukapaki.
Tukatambuana kucheki gari yake ina scratch kadhaa akasema hizi nyingine niligongwa few days ago tena nilikuwa nataka niende garage kesho. Nikamwambia poa namba yangu hii kesho ukimaliza niambie tutamqlizana. Just like that akachukuq namba akanipa yake kila mtu kasepa.
Jana kanipigia simu kamaliza matengenezo na gharama ni hizi nimpe yeyote ninayoona inatosha.
Nikamrushia nusu ya kiwango alichotumia maisha yanaendelea.
Doh pole sana, hapo ulipisema "dereva hakusimama" ulimaanisha huyo dereva wako wa scania au wa prado?Kuna siku niko scania 114 nimetoka kulitoa gareji hapo mawasiliano bas kwa kuwa dereava hakuepo siku hyo nikamchukua jamaa mmoja ambae kila wakt ananiomba kaz kwenye scaniaa hyo bas ,bas siku hyo nikamtafuta yule dogo kaja tukatoa gari mida ya usku saa moja kupeleka tegeta kibaoni kwenye hzo gareji za hapo , nimefika kawe pale darajani pale panakuaga na kituo cha daladal bas sis tuko site kwetu na mm niko kushoto .gafl gari prado tx ikachomok kutoka upande ule wa dala dal kumbe dogo ajamuona bhna akamparua akatoka na mirrow yake dereva wal hajasimam tulifika tangi bovu huyu jamaa kafika katuekea mbele gafla ,kidgo tumbutue kwa nyuma tena akashuka akatuamuru tupaki pembeni tulioenda akuongea jama akasema yey aanataka side mirrow yake tu amabyl mpya inauzwa laki tatu. Alitunyanga lesini ili na fungu za gari kisha akasema asbh kesho yake tuonane tuende kariakoo tukatafutt mirow yake jamaa baada ya kutoa kitambulisho chake ni meja general wa jkt mbweni huko akasema kama unataka kupoteaa sepa zako
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Safi,hongera kwa kukutana na muelewa,ingekuwa mwingine asingekuamini habari ya kuachiana namba,hata kusogea pembeni ingekuwa shidaWeekend hii na uchovu usiku nikamgonga jamaa nyuma. Jamaa kashuka na mimi nikashuka. Jamaa yuko cool na mimi nimepos. Nikamwambia naona nimekupigs teke kidogo.
Hapo njia finyu na tushazuia magari nikamwambia tutoke hapa twende mbele ambapo kuna nafasi. Alaondoa gari nikamfuata nyuma kama 300m hivi tukapaki.
Tukatambuana kucheki gari yake ina scratch kadhaa akasema hizi nyingine niligongwa few days ago tena nilikuwa nataka niende garage kesho. Nikamwambia poa namba yangu hii kesho ukimaliza niambie tutamqlizana. Just like that akachukuq namba akanipa yake kila mtu kasepa.
Jana kanipigia simu kamaliza matengenezo na gharama ni hizi nimpe yeyote ninayoona inatosha.
Nikamrushia nusu ya kiwango alichotumia maisha yanaendelea.
Aisee pole sanaaa... na simu zikabebwaaa[emoji27][emoji27]Niligongwa ubavuni mlango wa nyuma kushoto, kwenye junction,nilionyesha ishara ya kukata kona, kuna jamaa akaja mzima mzima ametanua kushoto kwangunikamuona kwenye side mirror nikafunga brake lakini kwa kua alikua na kasi akabamiza ubavuni. Ilikua mida ya usiku.
Mzee baba panick nikashuka kwenye gari kwa mbwembwe nikimfata jamaa aliyenigonga, koromea sanaa. jamaa akasema nishapata ajali kama hizi mara nyingi tu ila nasamehe. dizaini alikua anataka yaishe, mimi komaa sana, wananchi washakusanyika hapo.
Fikra zikanirudi. vioo vilikua wazi, Ndani kulikua na simu na mazaga mengine! Halahaulaa.
Mzee baba nikaingia kwenye gari ghafla na kuondosha, huku nikaugulia maumivu ya kuibiwa simu.
Nimejifunza panick ni mbaya sana.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]bima waje kulipaaaKuna jamaa alikwarua gari ya mwenzake akavunja taa ya mbele wakati anapaki baa
Aliyepasuliwa taa akataka jamaa amlipe bei ya taa na ufundi wamalizane
Mshkaji akagoma akasema ita trafiki waje kupima atalipwa na bima na ndio maana amelipia bima gari yake
Mgongwaji akaondoka...... jamaa alipomaliza bia zake ile kutoka akakuta taa zote zimevunjwa halafu jamaa hamjui [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Weekend hii na uchovu usiku nikamgonga jamaa nyuma. Jamaa kashuka na mimi nikashuka. Jamaa yuko cool na mimi nimepos. Nikamwambia naona nimekupigs teke kidogo.
Hapo njia finyu na tushazuia magari nikamwambia tutoke hapa twende mbele ambapo kuna nafasi. Alaondoa gari nikamfuata nyuma kama 300m hivi tukapaki.
Tukatambuana kucheki gari yake ina scratch kadhaa akasema hizi nyingine niligongwa few days ago tena nilikuwa nataka niende garage kesho. Nikamwambia poa namba yangu hii kesho ukimaliza niambie tutamqlizana. Just like that akachukuq namba akanipa yake kila mtu kasepa.
Jana kanipigia simu kamaliza matengenezo na gharama ni hizi nimpe yeyote ninayoona inatosha.
Nikamrushia nusu ya kiwango alichotumia maisha yanaendelea.
Unalipa bima ya nini?