Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Huwa inasababishwa na nin mkuu?Scabies
Denis fourplux unakumbuka majina ya dawa ulotumia kipindi unawashwa ngonzidenis fourplux umeshana?
Denis fourplux unakumbuka majina ya dawa ulotumia kipindi unawashwa ngonzi
AU KAMA KUNA MTU ANAFAHAMU HIYO DAWA ANISAIDIE
Hizi za kupaka zinatumika zote kwa pamoja ama ??Kaka dawa pekee inayosaidia kupunguza na kutibu kabisa huu ungonjwa
Vidonge
1.Acyclovir
Kwa kupaka
1.Scaboma
2.BBE
Utakuja kuleta mlejesho hapa.....
Ulishapona sasa auMsaada wadau hivi vipele vinawasha Na ukivikuna ndo kama unavizidisha kuwasha yani hadi mwili unawaka moto usiku kucha silali vipo mapajani,miguuni kidogo,vidole vya mikono,mabegani,tumboni karibu na kitovu,kiunoni na kwenye uume
Msaada wenu pliz natanguliza shukrani Zangu zote kwenuView attachment 1842796View attachment 1842795View attachment 1842797
Sasa unagegedaje? Au shughuli zote zimesimama kwa muda.?Tatizo girlfriend wangu hana hii kitu na tumeishapima nae sana hana kabisa hapo ndio nashindwa elewa tatizo ni nini
Sasa unagegedaje? Au shughuli zote zimesimama kwa muda.?
Umepima kaswende?
Nenda Muhimbili, new opd building... Umuone consultant physician yeyote utakayemkuta. Fanya upesi maana STI sio mchezo.... ni vema uende na uliyefanya naye ili mtibiwe wote.
Huwezi kupaka vitungu saumu ukapona huo ni ugonjwa wa zinaa wa kuambukizwa kwanza nenda Hospitali umuone Daktari wa ngozi kisha ukapime na kutumia dawa hujapona nitafute mimi kwa wakati wako nipate kukutibia upate kupona maradhi yako.Poleni na mihangaiko ya kutafuta rizki ktk maisha wadau, pia nitoe pongezi kwenu sote kwa kua pamoja katika tiba ushauli na nasaha za afya. Nichukue fursa hii kuomba ushauli au tiba ya upele pembeni mwa shingo ya uume. Vijipele hivi ni vidogo na vyeusi kwambalii haviwashi wala haviumi ni vidogo kabisa. Naomba ushauli tiba au mwongozo kutoka kwenu wataalamu kwani vipele hivi vimekua karaha pindi napokua faragha kwani round zikiwa nyingi huvimba kidogo then hutoa kwambali sana majimaji then after 1/2 day hukauka kabisaa na kua normal. Nilimuona mtaalamu wa afya huku bushi niliko akanishauli nitumie dawa za fangasi lakn hazijanisaidia pili nilijalibu mbadala kwa kupaka kitunguu swaumu lkn bado haviniishi. Nimedumu navyo almost 6-8 months sasa. View attachment 1873263
View attachment 1873265
Huwezi kupaka vitungu saumu ukapona huo ni ugonjwa wa zinaa wa kuambukizwa kwanza nenda Hospitali umuone Daktari wa ngozi kisha ukapime na kutumia dawa hujapona nitafute mimi kwa wakati wako nipate kukutibia upate kupona maradhi yako.