Lazia Sultan
Senior Member
- Jun 4, 2020
- 120
- 328
Hilo ni dushe au mguu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakawaida tuHilo ni dushe au mguu
Kumekuchaaaaaaa kumekucha ...... 6-8 months am za na kipimo kikubwa ... Katibu genital herpes/warts hehe hehe eee eee uliiingia pabovu mzeee .. Punguza kuuza mechi kwa maelezo yako bado we ni duka unauza sana mechi acha ni hatariPoleni na mihangaiko ya kutafuta rizki ktk maisha wadau, pia nitoe pongezi kwenu sote kwa kua pamoja katika tiba ushauli na nasaha za afya. Nichukue fursa hii kuomba ushauli au tiba ya upele pembeni mwa shingo ya uume. Vijipele hivi ni vidogo na vyeusi kwambalii haviwashi wala haviumi ni vidogo kabisa. Naomba ushauli tiba au mwongozo kutoka kwenu wataalamu kwani vipele hivi vimekua karaha pindi napokua faragha kwani round zikiwa nyingi huvimba kidogo then hutoa kwambali sana majimaji then after 1/2 day hukauka kabisaa na kua normal. Nilimuona mtaalamu wa afya huku bushi niliko akanishauli nitumie dawa za fangasi lakn hazijanisaidia pili nilijalibu mbadala kwa kupaka kitunguu swaumu lkn bado haviniishi. Nimedumu navyo almost 6-8 months sasa. View attachment 1873263
View attachment 1873265
Si mnpenda muhogoHilo ni dushe au mguu
Jamani hata Mimi ninao hivyo hivyo aliyepona aniambie dawa yake jaman nateseka kweliHapana sijawahi, nina 28
Kapake miconazole cream mkuu huku ukimeza Acyclovir tabsJamani hata Mimi ninao hivyo hivyo aliyepona aniambie dawa yake jaman nateseka kweli
Asante Sana ndugu yangu yaan nawashwa usiku kucha silaliKapake miconazole cream mkuu huku ukimeza Acyclovir tabs
Hujamsaidia bado toa ushauri mengine achana nayo!Unaonekana mzoefu kiasi unaweza kujua size ya kitu hata kwa picha tu.Naona mkuu umeamua kutuonyesha pili pili mbuzi kabisa.
Dah
Hicho ni zaidi ya kibamia
Dah nimejikuta nazoom...pole mkuu