Mjadala: Nini chanzo na tiba ya tatizo la upele kuota kwenye uume?

Mjadala: Nini chanzo na tiba ya tatizo la upele kuota kwenye uume?

Poleni na mihangaiko ya kutafuta rizki ktk maisha wadau, pia nitoe pongezi kwenu sote kwa kua pamoja katika tiba ushauli na nasaha za afya. Nichukue fursa hii kuomba ushauli au tiba ya upele pembeni mwa shingo ya uume. Vijipele hivi ni vidogo na vyeusi kwambalii haviwashi wala haviumi ni vidogo kabisa. Naomba ushauli tiba au mwongozo kutoka kwenu wataalamu kwani vipele hivi vimekua karaha pindi napokua faragha kwani round zikiwa nyingi huvimba kidogo then hutoa kwambali sana majimaji then after 1/2 day hukauka kabisaa na kua normal. Nilimuona mtaalamu wa afya huku bushi niliko akanishauli nitumie dawa za fangasi lakn hazijanisaidia pili nilijalibu mbadala kwa kupaka kitunguu swaumu lkn bado haviniishi. Nimedumu navyo almost 6-8 months sasa. View attachment 1873263
View attachment 1873265
Kumekuchaaaaaaa kumekucha ...... 6-8 months am za na kipimo kikubwa ... Katibu genital herpes/warts hehe hehe eee eee uliiingia pabovu mzeee .. Punguza kuuza mechi kwa maelezo yako bado we ni duka unauza sana mechi acha ni hatari
 
Msaada wakuu vinawasha kinoma na nikijikuna sana vinatoa maji na vinachubuka sio poa ndugu zanguni msaada nn solutions

IMG_20210803_192701_044.jpg
 
Wewe ndiyo maana mwanamke wako hataki kushiriki na wewe ngono (upo uzi wako humu ukimlalamikia kwa hilo) cha kufanya wahi matibabu na yeye pia akatibiwe muwe salama na mfunge ndoa muache kuzini zinaa siyo nzuri ni chukizo na inafukuza baraka.
 
Back
Top Bottom