Mjadala: Nini chanzo na tiba ya tatizo la upele kuota kwenye uume?

Ahsante kwa ushauri
 
Upo sahii..akifata huu ushauri atakuwa sawa
 
Hahah !! Kuuguaa acheni kabisaa!! ...unaweza kufanya vilivo visivo !... nampongeza kiongoz kwa kuonesha eneo la tukio [emoji23][emoji23]
 
Kuna mdada atakuja kuisifia hiyo mb0...[emoji1787]
Ila pole sana mkuu, ina unaroho ngumu sana kwa kutufungulia mwaka 2022..[emoji23]
Mh mjumbe, hapo inatakiwa asione aibu kuhusu hili tatizo.

Ikiharibika atafyatua kwa kutumia nini!?
 
da! pole mkuu,ushauri kama huna syphlis second chancre basi nashauri kama onana na docta hasa hawa wa maduka ya dawa binafsi mwambie akuchome hydrocotisone injection 200mg bd ndani ya siku tatu na upake clotrimazole cream uichanganye na whitfield field pamoja ndo upake mara mbili kutwa then utatupa mrejesho.nimeshauri hivyo kuhusu duka la dawa sababu hospital hawakubali uwape ushaur watakuambia usiwafundishe kazi hivyo kwenye duka la dawa wapo wanaojiwa kuinject sindano watakusaidia kwa hilo
 
Pole sana mkuu.

Naunga na Babu sea hii ni Genital herpes ambayo inasababishwa na Herpes Simplex Virus(HSV) na kuenezwa kwa njia ya kujamiana.

Dalili zake ni kuhisi maumivu, kuwashwa, kutokwa na viupele kwenye kengele.

Tafuta dawa inaitwa Acyclovir cream(nimeambatanisha picha), utatumia kwa kupaka kwenye sehemu iliyoathirika mara 3 hadi 5 kwa siku, utumie kwa siku 5.

Usipoona mabadiliko ongeza siku zingine 5 zifike jumla 10.

Siku 10 zikitimia halafu ngoma bado inagoma kutiki, kamuone Daktari.
 
Paka triomazin tube
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…