Ability product
Member
- Jun 24, 2017
- 9
- 3
Ahsante ndugu yangu nifanye hivyoda! pole mkuu,ushauri kama huna syphlis second chancre basi nashauri kama onana na docta hasa hawa wa maduka ya dawa binafsi mwambie akuchome hydrocotisone injection 200mg bd ndani ya siku tatu na upake clotrimazole cream uichanganye na whitfield field pamoja ndo upake mara mbili kutwa then utatupa mrejesho.nimeshauri hivyo kuhusu duka la dawa sababu hospital hawakubali uwape ushaur watakuambia usiwafundishe kazi hivyo kwenye duka la dawa wapo wanaojiwa kuinject sindano watakusaidia kwa hilo
AhsantePole sana mkuu.
Naunga na Babu sea hii ni Genital herpes ambayo inasababishwa na Herpes Simplex Virus(HSV) na kuenezwa kwa njia ya kujamiana.
Dalili zake ni kuhisi maumivu, kuwashwa, kutokwa na viupele kwenye kengele.
Tafuta dawa inaitwa Acyclovir cream(nimeambatanisha picha), utatumia kwa kupaka kwenye sehemu iliyoathirika mara 3 hadi 5 kwa siku, utumie kwa siku 5.
Usipoona mabadiliko ongeza siku zingine 5 zifike jumla 10.
Siku 10 zikitimia halafu ngoma bado inagoma kutiki, kamuone Daktari.View attachment 2073486View attachment 2073489
Ukipona ulete mrejeshoAhsante ndugu yangu nifanye hivyo
Unaendeleaje!Mimi ni kijana nina umri wa miaka 30, nasumbuliwa na tatizo la kuvimba uume, hali hiyo hutokea.ninapojamiina na mke wangu, tumepima magojwa ya ngono hakuna
U .T .I hakuna, lakini DCT ameshauri kutumia dawa za INFECTION, hata hivyo kuna vipele ambavyo hutokea juu ya kichwa cha uume na utunga kama usaha lakini sio usaha na kuanza kutoa drops kama rangi ya Bia na hayo maji hayana harufu.
Uume unakuwa legelege kama umekufa ganzi (haufanyi kazi ) tumbo lina unguruma na mgongo unauma kiuno kinauma .
NAOMBA USHAULI KWA WATAALAMU WA AFYA.
NIFANYE NINI , AU NIKAPIME KITU GANI , AU NASUMBULIWA NA KITU GANI?
View attachment 2073307
Anamke, na yeye anatumiaje?Pole sana mkuu.
Naunga na Babu sea hii ni Genital herpes ambayo inasababishwa na Herpes Simplex Virus(HSV) na kuenezwa kwa njia ya kujamiana.
Dalili zake ni kuhisi maumivu, kuwashwa, kutokwa na viupele kwenye kengele.
Tafuta dawa inaitwa Acyclovir cream(nimeambatanisha picha), utatumia kwa kupaka kwenye sehemu iliyoathirika mara 3 hadi 5 kwa siku, utumie kwa siku 5.
Usipoona mabadiliko ongeza siku zingine 5 zifike jumla 10.
Siku 10 zikitimia halafu ngoma bado inagoma kutiki, kamuone Daktari.View attachment 2073486View attachment 2073489
Mkuu ifike wakati tuache kushauri vitu ambavyo sio field yetu. Kwa ulichoandika hapa nina uhakika 100% hauko kwenye field ya medical.da! pole mkuu,ushauri kama huna syphlis second chancre basi nashauri kama onana na docta hasa hawa wa maduka ya dawa binafsi mwambie akuchome hydrocotisone injection 200mg bd ndani ya siku tatu na upake clotrimazole cream uichanganye na whitfield field pamoja ndo upake mara mbili kutwa then utatupa mrejesho.nimeshauri hivyo kuhusu duka la dawa sababu hospital hawakubali uwape ushaur watakuambia usiwafundishe kazi hivyo kwenye duka la dawa wapo wanaojiwa kuinject sindano watakusaidia kwa hilo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna mdada atakuja kuisifia hiyo mb0...[emoji1787]
Ila pole sana mkuu, una unaroho ngumu sana kwa kutufungulia mwaka 2022..[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahah !! Kuuguaa acheni kabisaa!! ...unaweza kufanya vilivo visivo !... nampongeza kiongoz kwa kuonesha eneo la tukio [emoji23][emoji23]
Unataka kumuua?Tumia vitunguu swaumu meza vipande 6 asubuhi na jion na maji mengi.au meza vidonge vya mchafuko wa damu
Nakazia na usafi pia wa boksa na zianikwe juani ama zipasiwe.Pole sana mkuu.
Naunga na Babu sea hii ni Genital herpes ambayo inasababishwa na Herpes Simplex Virus(HSV) na kuenezwa kwa njia ya kujamiana...
ndugu elimu ni pana zaidi unafikiri umeimaliza,matibabu ni mapana zaidi ya hapo ulipoishia jipe muda kapitie other indications of corticosteroids lakini pia effectiveness of some ant fungal zinapokuwa concominant all in all wewe unajita mtaalum wa afya vp kuhusu walio mashauri kuhusu vitunguu swaumu achanganye na malimao je drug interaction yake na ni ipi posbo side ifect ni zp,mwisho napenda umpe accurate cure ya shida ya mleta maada,ndo la maana mengine hayo uliyo nayo jua umakalili tu hujailewa afya.Mkuu ifike wakati tuache kushauri vitu ambavyo sio field yetu. Kwa ulichoandika hapa nina uhakika 100% hauko kwenye field ya medical.
Clotrimazole and whitefield zote ni antifungal...