Mimi ni kijana nina umri wa miaka 30, nasumbuliwa na tatizo la kuvimba uume, hali hiyo hutokea.ninapojamiina na mke wangu, tumepima magojwa ya ngono hakuna
U .T .I hakuna, lakini DCT ameshauri kutumia dawa za INFECTION, hata hivyo kuna vipele ambavyo hutokea juu ya kichwa cha uume na utunga kama usaha lakini sio usaha na kuanza kutoa drops kama rangi ya Bia na hayo maji hayana harufu.
Uume unakuwa legelege kama umekufa ganzi (haufanyi kazi ) tumbo lina unguruma na mgongo unauma kiuno kinauma .
NAOMBA USHAULI KWA WATAALAMU WA AFYA.
NIFANYE NINI , AU NIKAPIME KITU GANI , AU NASUMBULIWA NA KITU GANI?
View attachment 2073307