Mjadala: Nini chanzo na tiba ya tatizo la upele kuota kwenye uume?

Mgonjwa ameoa, mkewe ni lazima nae apate tiba.
Ameshawahi kufanya tendo na mkewe wakati tayari kashapata hili tatizo? Kama ndio, mkewe inabidi aanze kutumia vidonge vya Acyclovir 200mg mara 3 hadi 4 kwa siku kwa siku 7 hadi 10 ili aweze kujikinga.
 
Pia limenikuta tatizo kama lako ila mimi nimeambukizwa na mshikaji wangu dah, nimehangaika sana adi kifika hapa na kusoma comments za watu najua zitanissidia. Akhasanteni sana
 
Mkuu huna picha ya shemeji utume tuone?

Huwezijuwa pengine na yeye ana tatizo.
 
Kaka umepata solution ya tatizo lako?
 
Mkubwa pamoja na mambo mengine yote tumia folic acid 1 kisonge Kwa siku Kwa mwezi
 
Dawa gani mkuu
 
Ni kaswende hiyo au kitaalamu ni syphilis. Wewe na mke wako mkapime kipimo cha VDRL ili muanze shindano za Benzathine penicillin
 
Pole sana dokta wa Mchongo nliishapona na kusahu, ilo lilikua sio tatizo bali ni ugonjwa wa Ngozi na nlipewa dawa kwa wiki 3 tu nikawa nimepona nashauri ukasome tena issue za scabies
 
Pole sana dokta wa Mchongo nliishapona na kusahu, ilo lilikua sio tatizo bali ni ugonjwa wa Ngozi na nlipewa dawa kwa wiki 3 tu nikawa nimepona nashauri ukasome tena issue za scabies
Hongera so walisema ni scabies

Basi mimi ni mweupe aisee so ukapewa BBE
 
Upo sahihi 100%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…