Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1. Ishirini elfu na Saba
- 20,007
- 27,000
Ishirini Elfu na 720,007 - Elfu ishirini, na saba
25.7 - 25.70 = ?😂🤣😁unajua nacheka kwa nini? Hii ni maajabu.
20,007 - Ishirini elfu na saba
27,000 - Ishirini na saba elfu
Tupo pamoja.1.Elfu ishirini na Saba.
2.Ishirini na saba elfu.
Mwanao wa chekechea anapasua, nakushauri jifunze kiswahili fasaha achana na cha Kizaramo cha ata! Badala yake tumia "hata".Hii ata mwanangu wa chekechea anapasua
0.257257025.7 - 25.70 = ?
Solve
Akili kubwa umepata1. Ishirini Elfu na Saba
2. Elfu Ishirini na Saba
Ngoja nisukutue
Wengi wa mwanzo wamekosea kwasababu hawafati kanuni za uandishi wa Namba ila wanafata mazoeya ya utamkaji wa namba.
- 20,007
- 27,000
Hisabati ndio somo linaloongoza kua na 0 nyingi sanaWengi wa mwanzo wamekosea kwasababu hawafati kanuni za uandishi wa Namba ila wanafata mazoeya ya utamkaji wa namba.
Ukipewa 10,000 ukisema ni Elfu kumi hapa umekosea.
Namba inatakiwa uisome kwanza ndo utoe thamani yake.(wenzetu Wa kingereza hili wamelizingatia sana hivyo hakuna hizi changamoto katika usomaji kwa upande wa English)
Baada ya group la namba tatu za mwanzo, Namba zinazofatiwa zinadhamani ya ELFU(thousand) Hivyo Unatakiwa uzisome kwanza namba ndo umalizie na neno Elfu Siyo unaanza elfu ndo unasoma namba hapa utakuwa umekosea.
Mfano 10,001 tutaanza kusema kumi Elfu sio Elfu kumi. Hata 27,007 tutaanza kusema Ishirini na saba elfu na sio elfu ishirini na saba.
Sasa namba ulizotoa zinasomeka kama ifuatavyo
20,007=(ISHIRINI ELFU NA SABA)/ AU (ISHIRINI NA SABA ELFU SABA)
na
27,000= (ISHIRINI NA SABA ELFU)
kwa utaratibu huo utaweza pia kusesoma namba kwa utofauti kama namba 10,000 na 11,000.