Mjadala: Tuandike namba hizi kwa maneno

Mjadala: Tuandike namba hizi kwa maneno

Namba inatakiwa uisome kwanza ndo utoe thamani yake.(wenzetu Wa kingereza hili wamelizingatia sana hivyo hakuna hizi changamoto katika usomaji kwa upande wa English)

Sasa namba ulizotoa zinasomeka kama ifuatavyo

20,007=(ISHIRINI ELFU NA SABA)/ AU (ISHIRINI ELFU SABA)

27,000= (ISHIRINI NA SABA ELFU)

kwa utaratibu huo utaweza pia kusesoma namba kwa utofauti kama namba 10,000 na 11,000.
Nashukuru Mkuu nimejifunza jambo
I sasa kwa utaratibu wa usomaji kwanza namba je kwenye suala la muda hiyo kanuni inatumikaje
 
Hii ata mwanangu wa chekechea anapasua
ulipata mtoto lini mkuu wakati uchumba bado haujazaa ndoa toka 2021?

 
1. 20,007
Ishirini elfu na saba
Twenty thousand seven.

2. 27,000
Elfu ishirini na saba
Twenty seven thousand.
 
Back
Top Bottom