Uchaguzi 2020 Mjadala ungelitakiwa uwe kumuongezea muda Dkt. Magufuli na sio kuombana kura

Uchaguzi 2020 Mjadala ungelitakiwa uwe kumuongezea muda Dkt. Magufuli na sio kuombana kura

We Ole Mushi unajua nini aliyafanya Gaddafi kule Libya? Kwa nini walimtoa kishenzi hadi kumchomeka vijiti makalioni? Na jee unajua uharibifu wa nchi kwa sasa chanzo ni Gadaffi huyo huyo aliyejenga matabaka yanayoleta uhasama hadi Leo?
Kama huo uharibifu wa nchi umetokea baada ya Gadafi kuondolewa, ulichoandika kinakosa relevancy.
 
Naunga mkono hoja ,sioni wa kupambana na Magufuli katika uchaguzi wa mwaka huu
 
Hayo yote uliyoyataja yalitengenezewa njia na waliotangulia.

Mfano ni shule bila malipo. Kama waliotangulia wasingejenge hayo mashule, pasingekuwepo na shule bila malipo.

Pili ni barabara za juu kwenye makutano ya barabara. Hapa waliotangulia walijenga lami na uchumi mzuri kwa wananchi mpaka wakaweza kununua magari yaliyoleta foleni ndipo zikajengwa barabara za juu.

Ipo hivi, haya yote unayoyaona yanafanywa na anko ni matokeo ya waliotangulia.

Hata hizi barabara za mwendo kasi ni matokeo ya waliotangulia.

Kama ni kuhusu kuongezewa muda, mtu pekee aliyetakiwa kuongezewa muda alikua ni Kikwete. Ndiye aliyekua na maono makubwa sana na plan yake ndio inayofanya kazi sasa
 
Hstuwezu muongezea muda mtu kuwa rais ni hatare.. Ikipendexa awe mwenyekiti wa kudumu wa ccm hapo si ndio atacontrol zaidi power
 
hafai kupewa hata lisaa limoja baada ya mda wake kwisha,kwanza tunajadili ya nini kuongezewa muda wakati mwaka huu ndo mwisho wake.Lisu2020
 
Ole mushi magufuli kavunja haki za binadamu kuliko marais wote waliopita Tanzania hii, mtu akivunja haki za binadamu hata kama kuna kajitu ka maendeleo alikaganya huwa kanafutwa haraka sana, maendeleo yenye damu na ufisadi hukosa maana pindi anayesingizia kuyaleta anapovunja haki za binadamu, hakuna Nchi ilikuwa na maendeleo kama Afrika kusini kipindi cha makaburu, walijenga kila kitu kizuri lakini walipovunja haki za binadamu kutumia Polisi mahakama kuonea watu ndipo ikabidi makaburu waondolewe, magufuli anatumia vyombo vya dola kufungia magazeti radio tv kila anayethubu kumkosoa anamwandama ni utawala wa visasi, watanzania hawakuzoe visasi wamezoea Amani na upendo
 
Naunga mkono hoja kwa asilimia 200%.Taifa hili linahitaji kiongozi shupavu, Mzalendo na mwenye kujua nini kifanyike, lini na wapi kifupi kiongozi mwenye maono naye si mwingine ni John Pombe Joseph Magufuli.
 
Muulize mgombea Tundu ktk ziara zake za ki Vasco Dagama masokoni jjni dar last week. Alipata kero yyte ya Machinga juu ya vitambulisho ivo?. Maana niliona hayuko straight kuwahoji Machinga juu ya vitambulisho na tozo zingine. Magu kakusanya bilions of tsh, kaondoa mazira ya mgambo na kuleta mahusiano mazuri baina ya Machinga na serikali kwa tsh elf20 tu kwa mwaka.

Hizo pesa zinafanyia nn? na wewe nikuulize maeneo yao ya biashara yanasafishwa na nani pamoja na kuwekewa huduma kama vyoo nk?
 
MATAGA si muongeze muda kuna mtu ana jeshi ama polisi wa kuwazuia, kwanza haihitaji mjadala, fedha za uchaguzi angejenga mbuga nyingine kule chato, asiseme kuhusu uchaguzi mpaka siku akichoka, mnataka kujadili mambo ya muda na nani? bakini madarakani milele.
 
Kwa Moto huu anaouona hata hio hamu hana ya kuongeza mda
 
Tumwambie Mushi atutaki mateso tena hatutaki ujamaa na ukomunistu kwan vinaleta umasikini nchini
 
Mbona sijaona list ya viwanda 4000 na mahakama ya ufisadi?
 
Back
Top Bottom