Ole mushi magufuli kavunja haki za binadamu kuliko marais wote waliopita Tanzania hii, mtu akivunja haki za binadamu hata kama kuna kajitu ka maendeleo alikaganya huwa kanafutwa haraka sana, maendeleo yenye damu na ufisadi hukosa maana pindi anayesingizia kuyaleta anapovunja haki za binadamu, hakuna Nchi ilikuwa na maendeleo kama Afrika kusini kipindi cha makaburu, walijenga kila kitu kizuri lakini walipovunja haki za binadamu kutumia Polisi mahakama kuonea watu ndipo ikabidi makaburu waondolewe, magufuli anatumia vyombo vya dola kufungia magazeti radio tv kila anayethubu kumkosoa anamwandama ni utawala wa visasi, watanzania hawakuzoe visasi wamezoea Amani na upendo