Tetesi: Mjadala wa "debt ceiling" unaondelea sasa USA: ni anguko la dollar ya Amerika au kitisho kwa uchumi wa dunia?

Je unajua serikali ya kwenye republic inapatikanaje? Ulikimbilia kudai una "exposure" kuliko wengine, unategemewa kujua jambo dogo hili.
Jibu swali mdogo wangu. Republic inasema mtu anatakiwa kutawala miaka mingapi?
Kwani Putin hajachaguliwa? Je, Xi Ping hajachaguliwa?
 
Mimi siyo mdogo wako; uchaguzi ulliomweka Putina na .Xi Ping ndio huo ambao unaopingwa hapa Tanzania wa kutokuwepo lkwa tume huru na katiba yenyewe uwazi. Swali nimeshalijibu huko nyuma. Iwapo Putin na xi Ping ndioyo model yetu mpya, basi tuachane na kelel za kutaklka katiba mpya na tume huru ya uchagzui. Model ya republic iko structured sana kuondoa uwezekano wa mtu mmoja au kikundi cha watu kuhodhi madaraka. Ndani ya republic huweza kutokea vikundi vikapindisha mfumo kama ilivyo Irani na Korea ya Kaskazini ili watu kadhaa wahodhi madaraka daima, lakini hiyo inakuwa siyo republic tena.
 
Mbona unahaha sana. Nimekuuliza kwenye Republic, kiongozi anatakiwa kutawala miaka mingapi?
 
Jibu rahisi ni hivi: Kwenye republic kiongozi huchaguliwa kwa uchaguzi huru ambapo wapinzani wake pia hukubali kuwa kweli mwenzao kawashinda. Tatzio aliloleta Trump Marekani mwaka 2020 ni kati ya hayo ambayo tumeongelea huko nyuma kuwa ni kudorora kwa demokrasi ya kirepublic marekani ambayo ndiyo wewe uliyo-question ni kitu gani hicho.

Ila usiniite mdogo wako; sawa!
 
Hujajibu swali. Mbona hutaki kujibu? Huko tutafika nataka tumalizane na issue ya ukomo wa kiongozi kwenye republic. Nauliza tena kwenye republic kiongozi anatakiwa kuongoza miaka mingapi?
 
Mpaka sasa hajajibu swali kama linavyo uliza ila ana tunga swali lake na kujijibu vile yeye ana taka.
Kama huwezi kujua jmajibu yangu basi hutayajua hata nikirudia mara ngapi. Wewe unategema jibu rahisi la miaka 10 20 etc, lakini unashindwa kuelewa kuwa nchi zenye utawala unaotokana na uchaguzi hhalali hutofdautiana pia kwenye term limitrs na mambo mengineyo. Nilipokueleza feature ya pamoja ya system hiyo umeshindwa kuilelewa na hivyo tutaanza kwenda around the vicious circle ya ignorance forever.
 
Unapolilia Katiba Mypa na Uchaguzi Huru, na haki za binadamu ni model ya Marekani. Haipo Urusi wala China
Haki za binadamu, marekani ana haki ya kulinda haki za binadamu za raia wa nchi nyingine kwa kuwa vamia na kuwaua ?
 
Kama huwezi kujua jmajibu yangu basi hutayajua hata nikirudia mara ngapi. Wewe unategema jibu rahisi la miaka 10 20 etc, lakini unashindwa kuelewa kuwa nchi zenye utawala unaotokana na uchaguzi hhalali hutofdautiana pia kwenye term limitrs na mambo mengineyo. Nilipokueleza feature ya pamoja ya system hiyo umeshindwa kuilelewa na hivyo tutaanza kwenda around the vicious circle ya ignorance forever.
Sasa kama una kubali nchi hutofautiana kwenye term limits kwa nini una ona hilo halifai China kuhusu Xi Jinping ?
 
Lini alibadili katiba ili akae madarakani milele ?
Kama hujui hata hilo sasa tutajadili kitu gani. Baada ya Mao, China walivyoanza kujifungua waliweka term limit ya secretary general (ambaye ndiye rais) kuwa miaka kumi. Alipofika yeye akapangua hilo na kusema ataweza kukaa muda wowote, mwaka huu ameanza mwaka wa kumi na moja, ambavylo marasi watau waliomtangulia wote waitumia miaka kumi tu. Sasa kama ulikuwa hujui ni kwamba huwezi kuingia kwenye mjadala huu; uko poorly informed kufanya credible argument.
 
Sasa kama una kubali nchi hutofautiana kwenye term limits kwa nini una ona hilo halifai China kuhusu Xi Jinping ?
Unarudia myopic views. Kuna nchi term limis ni vipindi viwili au vitatu vya miaka 4 (USA, AUSTRALIA etc), nyingine ni miaka Mitano (Tanzania, Kenya, etc,) Nyingine ni miaka 7 (Rwanda etc). Inajulikana ni kuwa baada ya vipindi hivyo, mtu anaondoka madarakani anapisha wengine.

Nyia mnaotetea utawala wa Putin na wa China nitawafuatialia kwa karibu kujuwa misimamo yenu kuhusu harakati za Katiba mpya Tanzania na Tume huru ya uchaguzi.
 
Kama hujui hata hilo sasa tutajadili kitu gani. Baada ya Mao, China walivyoanza kujifungua waliweka term limit ya secretary general (ambaye ndiye rais) kuwa miaka kumi.
Hapakuwahi kuwepo na term limits kwenye position ya General secretary ili ni kosa la kwanza umefanya.

Inavyoonekana hufahamu ni mabadiliko gani ya katiba ipi Kati ya serikali au chama yalifanyika.
 
Alipofika yeye akapangua hilo na kusema ataweza kukaa muda wowote, mwaka huu ameanza mwaka wa kumi na moja, ambavylo marasi watau waliomtangulia wote waitumia miaka kumi tu. Sasa kama ulikuwa hujui ni kwamba huwezi kuingia kwenye mjadala huu; uko poorly informed kufanya credible argument.
Una changanya position mbili kati ya General secretary na President.
 
Unarudia myopic views. Kuna nchi term limis ni vipindi viwili au vitatu vya miaka 4 (USA, AUSTRALIA etc), nyingine ni miaka Mitano (Tanzania, Kenya, etc,) Nyingine ni miaka 7 (Rwanda etc). Inajulikana ni kuwa baada ya vipindi hivyo, mtu anaondoka madarakani anapisha wengine.

Nyia mnaotetea utawala wa Putin na wa China nitawafuatialia kwa karibu kujuwa misimamo yenu kuhusu harakati za Katiba mpya Tanzania na Tume huru ya uchaguzi.
Term limits Germany ni miaka mingapi ?
 
Hapakuwahi kuwepo na term limits kwenye position ya General secretary ili ni kosa la kwanza umefanya.

Inavyoonekana hufahamu ni mabadiliko gani ya katiba ipi Kati ya serikali au chama yalifanyika.
Wacha propaganda; elewa kuwa Hu Jintao alikaa 2002 hadi 2012 (miaka kumi), Jiang Zemin alikaa 1993 hadi 2003 (miaka kumi), wa nyuma yao wote walikuwa ni chini miaka kumi hadi enzi za Mao.
 
Haupo sawa.

Jiang Zemin alikaa miaka 13 kwenye position ya General secretary, Urais 10. Hu Jintao alikaa miaka 10 Urais& General secretary.

Cheo cha General secretary ni position ndani ya chama na cheo cha Urais ni position ndani ya serikali, Je una fahamu hili ?
 
Back
Top Bottom