Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
Jibu swali mdogo wangu. Republic inasema mtu anatakiwa kutawala miaka mingapi?Je unajua serikali ya kwenye republic inapatikanaje? Ulikimbilia kudai una "exposure" kuliko wengine, unategemewa kujua jambo dogo hili.
Kwani Putin hajachaguliwa? Je, Xi Ping hajachaguliwa?