Naam wakuu,
Mjadala kuhusu elimu na mustakabali wa Taifa unaendelea sasa hivi katika ukumbi wa Nkhrumah. Vile vile uko live ITV na radio one. Tufuatulie
nimesikia serikali ina mpango wa kupunguza pass mark ya kwenda kidato cha tano kutoka div 1-3,na badala yake sasa hivi mpaka div 4 wenye div 4 ya pts 26-29 wanaweza kupata nafasi ya kidato cha tano.
uchangiaji wanaendelea.
wakuu nitoka nje kidogo. kila la heri wafuatiliaji
ni kweli mjadala mzuri kweli,me naufatilia kupitia simu yangu ya tochi tangu unaanza