Mjadala wa Elimu Live Nkhrumah leo

Mjadala wa Elimu Live Nkhrumah leo

Naam wakuu,
Mjadala kuhusu elimu na mustakabali wa Taifa unaendelea sasa hivi katika ukumbi wa Nkhrumah. Vile vile uko live ITV na radio one. Tufuatulie

kwa njinsi nlivyo na hasira hata nikiangalia nadhan naweza lia n bora nsubili kuadithiwa
 
kilichotokea kwenye elimu ni kiama.
 
uchangiaji wanaendelea.

wakuu nitoka nje kidogo. kila la heri wafuatiliaji
 
nimesikia serikali ina mpango wa kupunguza pass mark ya kwenda kidato cha tano kutoka div 1-3,na badala yake sasa hivi mpaka div 4 wenye div 4 ya pts 26-29 wanaweza kupata nafasi ya kidato cha tano.

kweli sikio la kufa halisikii dawa
 
Tatizo la wasomi waTAnzania tunalielezea tatizo lakini hatutoi njia jinsi gani ya kulitatua tatizo,na ikiangalia wachangiaji na watoa mada wote wanasherekhesha tatizo na hawaelezi njisi ya kupata soln
 
Hakika mdahalo ulikuwa mzuri sana kama yaliyosemwa yakipatiwa ufumbuzi hakika tutiga hatua kubwa kwenye elimu
 
Nimefurahishwa na dr. Mkumbo alivyosema Nyerere ananukuliwa kwa sababu ananukulika!!
 
Back
Top Bottom