FredKavishe
JF-Expert Member
- Dec 4, 2010
- 1,090
- 318
- Thread starter
- #21
Tambwe. Wapinzani tu ndo hawaitaki katiba
hana kitu pumba tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tambwe. Wapinzani tu ndo hawaitaki katiba
yuko kisiasa zaidiTambwe. Wapinzani tu ndo hawaitaki katiba
kwanza anabore sana hata uzungumzaji wake wakivivu kishenz
Jamani wana jf angalieni itv kipindi kipima joto kinaendelea muda huu. Mnyika amejibu hoja za wanaosema watanzania hawaielewi katiba. Anasema wanafuatilia matukio na mapungufu bila ufahamu wa vifungu vya katiba lakini wakiashiria kuwepo mapungufu katika katiba iliyopo.
Tambwe hiza anendelea kutoa upupu
Jamani kweli ccm ipo ICU. Yaani suala nyeti la katiba wanawakilishwa na mlopokaji!! Kwa nini wasimweke hata wilson mukama?? Hivi unene huwa unaathiri akili??? Wanasayani watujuze tafadhali.
ebo!! jamani vipitena? yaani nimesoma post zote 24 za hii thread zinamhusu tambwe lol!1 mpotezeeni jamani tupeni yale yanayojiri huko
yuko kisiasa zaidi
Mama Malya wa TGNP nae katia timu
Kutofahamu kwetu katiba ya sasa, kama madai ni ya kweli, basi ndio kiashirio tosha ya MADHARA YA KATIBA YA NCHI ILIOANDIKWA BILA KUSHIRIKISHA WANANCHI, hivyo cha muhimu zaidi ni KUJUA TUNACHOTAKA NDANI YA KATIBA MPYA TANGU SASA na wala si kutazama na kubakia nyuma wajanja walikoibakia uchumi wetu.
Namwona mlopokaji anasoma sms kwenye simu zake mbili kwa wakati mmoja. Sijui jamaa wamemtumia madesa???